Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Laana hii....

Huyo atakuwa alihisi hata huyo mtoto sio wake.
Hata kama ndio hivyo ila kuua mtoto wa miezi minne ni zaidi ya unyama.

Huenda huyo jamaa ana matatizo ya akili, wasisahau kumpima hili.
 
Kuna mmoja kule Morogoro alisema "...hivi vikundi vya kusaidiana havina faida, kila siku tunachangia wenzetu tu, haikupita wiki mwanaye akiwa na bodaboda akagongwa na lori"
 
Watu wa mara wajengewe uzio hilo ni taifa tofauti ndani ya taifa!
 
Eee Mwenyezi Mungu tuhurumie sisi wakosefuπŸ™πŸ™
Matukio kama haya ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo ameshindwa kumhurumia mtoto mdogo kama huyu asiye na ufahamu wowote ule asibanwe pumzi na hilo jamaa halafu aje akuhurumie wewe?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mtu anaona anachangia wengine tu kwenye kikundi... Yeye hana function ya kuchangiwa...

Atafanyajee na madeni yamemkaba? Uhakika wa kupata michango upo.. Ila tukio la kupata michango ndio mtihani...

Hela ni nyokooo
 
Uyu marwa ni mwalimu?
 
Kuna behind the scene hapa si bure ....
Wanaume wengi hawaamini watoto waliozaa na wake zao kama ni wao kweli ...
 
Hii iwekwe kwenye moja ya matukio magumu kuwahi kutokea Tanzania,2024...so sad 😭
 
Yabidi kabla mnyonga atafutwe mama wa mtuhumiwa atueleze kama kweli Marwa ni mkurya haingii akili kukatokea mkurya anamuita mtoto Celine kisha asubiri achangiwe jasho la watu kwa kunyonga mtoto inatafakarisha sana au ndo kusema zama zimebadirika mpaka mavijana ya hovyo yametokea Tarime, kweli unaua mwanao ili uchangiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…