Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.

Screenshot_20250911-132944.png
 
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.

View attachment 3469525
Goldman Sachs, JP Morgan, Swiss Credit, Deutsch Bank na HSBC.
 
Be your own Bank!

Ama kama una pesa hujaipangia mipango bado...nunua Bonds/hati fungani..

Elewa maana ya neno PESA! sio Hela! Ama vijipesa!
 
Kaa tu utulie apo apo mambo mengne ni kuvumilia
Shida kidgo tu unataka kuhama uwo ni wazimu inamaana ww ujui kuvumili changamoto
Na kwa taarifa yako CRDB anapatikana Tanzania nzima kila mkoa kila wilaya izo bank zingne zinaweza kua ni nzuri ila hazipatikani Tanzania nzima,

Na kwenye masuala ya pesa kitu cha muhimu ni upatikanaji wa pesa sasa unaweza hama zen ukaenda mkoa na ukakosa uduma maana bank nying ziko dar na ktk majiji makubwa bas ila CRDB ni popte wapo
 
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.

View attachment 3469525
Namna ya kubadirisha akaunti ya mshahara kwa watumishi wa umma anayejua CRDB wamekuwa wapuuzi sana.
 
Bank zote walewale tu. Bank niliyokuwa naikubali ni FNB, walishasepa Ila ndio walikua na afadhali.
 
Back
Top Bottom