Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525
Kama upo Dubai hizi ndo banks pendwa
Dubai Islamic Bank, Mashreq Bank, Emirates NBD na First Abu Dhabi Bank
USA natumia JP Morgan Chase na Citi Bank.