Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

Na je, kama mtu akiamua kulipa mkopo wake mapema kabla muda haujaisha, CRDB wanapunguza riba ya miezi ambayo haijalipwa au bado unalazimika kulipa riba ya muda wote?
Ndiyo, CRDB Wanaruhusu early repayment ya mkopo without penalties.. Sidhani Kama riba inapungua kutokana na kuwa riba inatozwa kama fixed rate kwa kipindi chote, na inakusanywa mara baada ya mshahara kuuingia, hata kama ukilipa mapema, huenda kiasi cha riba ulichotakiwa kulipa kilikuwa tayari kimeshajumuishwa
 
Back
Top Bottom