Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525
Kaa tu utulie apo apo mambo mengne ni kuvumilia
Shida kidgo tu unataka kuhama uwo ni wazimu inamaana ww ujui kuvumili changamoto
Na kwa taarifa yako CRDB anapatikana Tanzania nzima kila mkoa kila wilaya izo bank zingne zinaweza kua ni nzuri ila hazipatikani Tanzania nzima,
Na kwenye masuala ya pesa kitu cha muhimu ni upatikanaji wa pesa sasa unaweza hama zen ukaenda mkoa na ukakosa uduma maana bank nying ziko dar na ktk majiji makubwa bas ila CRDB ni popte wapo
Yeah iko poa. Na hawafanyi update siku 3.Ahsante,.
App yao iko fasta, katika miamala?
Intelligent businessman imagine waibe laki 7 yangu, kesho wanakuta nipo na kirikuu na mizigo yangu yote bank kwao. Ndio nimeamia hivoCHUKULIA WAMETOA LAKI 7 ZANGU NA SIJUI ZILIPO.
Umeshindwa kufanya nini? Be specific mbona App inafunguka?Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525
Yupo chanika mwisho wa lami🤣🤣Kama upo Dubai hizi ndo banks pendwa
Dubai Islamic Bank, Mashreq Bank, Emirates NBD na First Abu Dhabi Bank
USA natumia JP Morgan Chase na Citi Bank.
Tena APP sasa hivi imekuwa na speed sana tofauti na manzoni.Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525
Yupo chanika mwisho wa lami🤣🤣
Na ukiuliza wanakujibu "hii siku network ilikuwa na muskeli"CHUKULIA WAMETOA LAKI 7 ZANGU NA SIJUI ZILIPO.
CRDB nimepigwa 3mNMB hawana shida, matawi kila sehemu, mawakala wa kutosha, hawadokoi hela..
mpaka ukoo wangu utakuwa mlangoni kwao.Intelligent businessman imagine waibe laki 7 yangu, kesho wanakuta nipo na kirikuu na mizigo yangu yote bank kwao. Ndio nimeamia hivo
Lile licable liliungwa na huko ili lisomane?Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525
We jamaaGoldman Sachs, JP Morgan, Swiss Credit, Deutsch Bank na HSBC.
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendee
Nsekela kaiua CRDBHawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
View attachment 3469525