Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

weka picha yako ili tuthibitishe hili.
 
weka picha yako ili tuthibitishe hili.
Hahaha mkuu ya picha yanatoka wapi. ?? Mimi ni kijana mdogo tu mwenye umbo la kawaida but kasura kazuri. Humu tunaandika privacy ndo maana ni ngumu kwa mtu kujiweka.
 
Dili na umri wako ulingane na ufahamu wako umri wa mtu mwingine haukuhusu !
happiest mhenga!
 
Ni kweli JF wengi wetu ni wahenga, na huu ujio wenu nyie watoto ndio kumepoteza ile Great thinker iliokuwepo hapo awali. Watoto nendeni Fesibuuku hadi mkifika 40years ndio mrudi JF. Kumekuwa na vipost vingi visivyo kichwa wala miguu kumbe ni nyinyi watoto wa Fesibuuku!!
 
Dili na umri wako ulingane na ufahamu wako umri wa mtu mwingine haukuhusu !
happiest mhenga!
Ingekuwa hivyo tusingekuwa na matabaka. Lazima tutofautiane deals ili heshima iwepo. Binafsi sina ufahamu mkuubwa kama wakina the bold na Ontario ni wastani tu. Kuhusu dili ni kawaida pia mkuu siyo kihivyoo ingawa maisha yanaenda namshukuru mungu kwa hichi kidogo nilichonacho.
 
Humu ni kwetu sote hatubaguani mkuu. Hata wewe ulianzia fesibuku pia
 
man !"deal"is not a context or subject here!i meant you just be concerned with ur age in relation of what ur doing not other people age!
u know what kiddo every body comes i this world at his or her own good time and with own plan so dont live nobody life but yours only -enjoy your time while it last dont compare urself with nobody do ur thangs!
 
Haya bana. Noted
 
Kwa hiyo ukiona mwanaume anatafuta mke wa miaka 28-35 unadhani ni muhenga?Huhui kuna vijana wadogo wavivu wanaotafuta kulelewa na mijimama?Wengine wame kosa mikopo HESLB ndio maana wanatafuta wanawake Dar!
 
Kwa hiyo ukiona mwanaume anatafuta mke wa miaka 28-35 unadhani ni muhenga?Huhui kuna vijana wadogo wavivu wanaotafuta kulelewa na mijimama?Wengine wame kosa mikopo HESLB ndio maana wanatafuta wanawake Dar!
Hahahahaa siyo kwa humu. Maana mijimama haitafutwi inatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…