Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
weka picha yako ili tuthibitishe hili.Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35
Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.
Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.
Nawasilisha