Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Unamapepo si bure!kasome maana ya hero
 
Tanzania tushukuru kuwa na watu kama Mange, Lissu na Lema. Lasivyo nchi nzima tungebaki kama makondoo tu ya CCM
 
Huyo Mange ni hero wa wafuasi wake, mimi huwa naona habari zake kupitia JF sijawahi kuwa mfuasi wake wala kutembelea blog yake.

Vv
 
Mtanzania mwenzetu dada Mange Kimambi anayeishi Nchini Marekani atakuwa msaada mkubwa sana kwa Taifa hili hasa kwa kufichua maovu kwa kupitia njia zake za udukuzi. Kusema kweli kwa sasa kila mtanzania mwenye kujielewa hupata chai ya asubuhi kwa kupitia ukurasa wa mange.

Ki Msingi Mange anapewa Taarifa toka kwa watu walioko kwenye mifumo ya kiserikali waliochoshwa na dhuruma zinazoendelea katika Taifa letu.

Mange mimi binafsi nakuombea udumu sana katika kuendelea kuinyoosha Nchi.
 
Unabisha nini wakati Mange ametuambiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
she has 1 million followers and counting,all these can't be wrong...at least she guts and secrets are kinda safe with her

Bless your heartπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Inawezekana akawa whistle blower mzuri lakini tukumbuke information zote zinatoka huku nyumbani na anaowaumbua hawako kimya.Umeshuhudia walivyomlisha ndimu kuhusu Kinana kuwa Ulaya naye akaingia chaka.
La pili lugha anayoitumia ina ukakakasi mwingi kiasi ambacho inaondoa hata furaha ya jambo na hiki ni kilema chake.
La tatu aamue moja kutusaidia kueleza ya siasa na aache personality clashes na watu wengine katika same page ya instagram.
Binafsi namuona kama mtoto mtundu na nashangaa serikali ikipoteza nguvu kumfuatilia.
 
Huyo ni mtabiri wa Lowasa kasema akigombea 2020 atapigwa kama mtoto Mdogo
 
Lakini si Kinana alikuwa "ametumwa kutibiwa"? Wenye akili za "kijinga" kama Mange walimwelewa Mange alikuwa sahihi wala hakuingizwa chaka!
 
Lakini si Kinana alikuwa "ametumwa kutibiwa"? Wenye akili za "kijinga" kama Mange walimwelewa Mange alikuwa sahihi wala hakuingizwa chaka!
Kuna picha iliambatanishwa ikiaminiwa ni Kinana akiwa Ulaya (si India).Yeye amekiri ya kuwa kuna watu wanampotosha wakati mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…