Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwanini ni wanaume wa dar tu na si sehemu ingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekua shujaa kama angeyasema yote asemayo akiwa hapa Tz ndo ningeamini ni shujaa...we unamtukana mtu ukiwa umejificha afu wapuuz wakuite shujaa...labda wasiojielewa kama yeye ndo watamuita shujaa.Mange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania
Ulishawahi kuwa shujaa wa mavi?
unajua alikuwa anamkashifu kwa sababu gani?usiwalazimishe watu wa dar wayafuate ya mange.alimkashifu lowasa sasa amegeukia kwa mkuu wa nchi jiulize amebanwa nini na wapi?Ni wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
subutu.uwiiii mange uishi miaka buku
Tuombe radhi. Kweli watz tunaweza tukawa na hero mtukanaji kama huyo?!
Kuna haja gani ya kumtaja mke wa mtu nawewe?Na Bashite ndio Hero au [emoji3][emoji3]?
Acha kutaja wake za watuKutokana na mange tumethibitisha kuwa mshauri wa rais ni bashite.