Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

Kumetokea nn kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nn?
Mifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
 
Mbona jamii za Asia na uarabuni hali sio mbaya kama jamii za maghalibi na Afrika? Wamewezaji kukabiliana na hayo mabadiliko ya mifumo?
 
Mifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Mifumo imelala je anayetakiwa kuisisimua, (amsha ni nani)
 
Back
Top Bottom