Mimi nilichoelewa kutoka kwako ni kuwa wewe ni mmoja katika wale wanaojiaminisha kuwa kuna giza kwa kufumba kwao macho.Mifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Unachopaswa kujiuliza ni wapi kizazi cha sasa kinakosea, sio "Mifumo ya dini ..." imeshindwa kutoa majibu. Argument yako ni sawa na mwanafunzi anayelaumu mwalimu ameshindwa kumfanya aelewe bila kujitathmini yeye uwezo na utayari wake wa kuelewa upoje!