Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

Mifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Mimi nilichoelewa kutoka kwako ni kuwa wewe ni mmoja katika wale wanaojiaminisha kuwa kuna giza kwa kufumba kwao macho.

Unachopaswa kujiuliza ni wapi kizazi cha sasa kinakosea, sio "Mifumo ya dini ..." imeshindwa kutoa majibu. Argument yako ni sawa na mwanafunzi anayelaumu mwalimu ameshindwa kumfanya aelewe bila kujitathmini yeye uwezo na utayari wake wa kuelewa upoje!
 
Matarajio huwa yanatudhurumu na kuharibu kila kitu. Ndoa ni ile ile tu lakini matarajio tunayokuwa nayo yasipoenda vile tulivyotarajia ni lazima tuione ndoa chungu na hapo ndipo mifarakano na sintofahamu huwa zinatokea
 
Ndoa hz. Yaan saa moja usiku ushaulizwa upo wapi??? Sasa huko c n kupoteza uhuru wa maisha
 
siku za mwisho upendo wa wengi utapoa
Nakubali, sasa na kwa hao wachache wenye upendo wa kweli wanaangukia wapi, au waendelee kuvumilia maasi ya dunia.
 
Kumetokea nn kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nn?
Hapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewa
 
Hapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewa
Tusikitike asee furaha kiduchu uzuni kama zote
 
Kizazi Cha kiume Cha kujitoa mhanga kwa wanawake na watoto kinageukwa na kusalitiwa sana !!

Kataa ndoa wanaendelea kupata point tatu!

Kwasasa mtoto anatumika kama chambo Cha kutumaliza me kiakili,kiuchumi Hadi uhai!

Elungata!
 
Back
Top Bottom