RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Kuishi na mtu uliemloga ili awe kondoo Kuna maana gani!!?zaidi ya kuishi na roboti lililosetiwa na rimoti!!Wazee wa zaman walikuwa wakishaoa wanamlaza mke akili kabla ya lolote.... Hii code nilipewa na faza kwenye story za hapa na pale 🤔
Au basi🚶
na jibu linakosekana sababu mifumo inachuana kuonyesha yupi bora ili kuchaguliwa, mwishoni wanaumia wachaguziMifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Haya endelea kuishi na ndoa zako za miez 6..... Huku wenzako waliish miaka 50 mpk kuzikana!!Kuishi na mtu uliemloga ili awe kondoo Kuna maana gani!!?zaidi ya kuishi na roboti lililosetiwa na rimoti!!
"kupigana na nature"🫂🫂-hela ime-replace upendo
-vulugu za binadamu kupingana na nature mfano feminism, 50/50
Mimi huwa najiuliza kwanini wanaopewa wadhamani Tanzania, huwa wanaahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data halafu jamii inakaa kimya, (jamii ya kanyaga twende)katika Kanuni alizoziweka mungu ukiaribu moja itaathiri na nyingine pia... nimemaliza
comment bingwa sana hii mkuu nipe hiyo code vitu vya kufanya wanawake wa sasa wajifanya wajuaji sana bora kumlaza akiliWazee wa zaman walikuwa wakishaoa wanamlaza mke akili kabla ya lolote.... Hii code nilipewa na faza kwenye story za hapa na pale 🤔
Au basi🚶
SureKizazi Cha kiume Cha kujitoa mhanga kwa wanawake na watoto kinageukwa na kusalitiwa sana !!
Kataa ndoa wanaendelea kupata point tatu!
Kwasasa mtoto anatumika kama chambo Cha kutumaliza me kiakili,kiuchumi Hadi uhai!
Elungata!
Mmasemaga ivyo ivyo mkishapigwa nyundo ya utosi ndo mnapata somo. Wanawake washavulugwa hawajali chochote. Kanuni pekee ya kuishi nao iliyobaki ni kuepuka kusaini ule mkataba wa ndoa na kujipa kipaumbele mwenyewe tuIpo hivi sasa niwachane;
1. Kama hauna akili kuwa singo ni mbaya, kuoa pia ni majanga.
2. Kama kichwani hapaeleweki kuwa katika ajira ni tatizo na hata kujiajiri ni taabu tupu.
3. Ukiwa waruwaru kuwa na njaa ni tabu tupu na kushiba vizuri ni shida pia.
Kwa upande mwingine sasa kama una akili utafaidi vyote tu hapa duniani kuanzia usingo, mahusiano hadi ndoa. Akili tu watu wangu. Mtu mpumbavu hata tu mpenzi wake akinuna yeye anachukulia kama personal attack kwake anaishia kusema ndoa chungu😏
Kwan na ww unaamini kuwa wasiwasi ndo akili?Mmasemaga ivyo ivyo mkishapigwa nyundo ya utosi ndo mnapata somo. Wanawake washavulugwa hawajali chochote. Kanuni pekee ya kuishi nao iliyobaki ni kuepuka kusaini ule mkataba wa ndoa na kujipa kipaumbele mwenyewe tu
Kuna tofauti kati ya kuogopa na kufanya maamuzi sahihi. Udadisi unaotaka kuufanya wewe, sisi ambao tupo mbele ya wakati tulishaufanya kitambo kirefu ndio maana tukaja na maamuzi sahihi.Kwan na ww unaamini kuwa wasiwasi ndo akili?
Sie wengine tunajua kuwa udadisi ndo akili so tunaingia, tunasaini na tukipata somo inakuwa ni kwa fulllu experience of it. Udadisi kamilifu..... akili mtu wangu, akili tu nakuambia
picha chini inaelezea point namba 51)MAADILI KUSHUKA KATIKA JAMII
Hofu ya Mungu kushuka
Uzinzi michepuko fasheni
Dhambi imekuwa kitu cha kujisifia
2)NAFASI YA MWANAMKE IMEPANDA
Wanawake wamepanda ki ELIMU kujua haki zao na wanazitetea wanatetewa,nafasi za usawa katika sekta zote uongozi pia ,pia wapambanaji wanatafuta pesa,wanafanya baadhi ya shughuli/kazi zinavyofanywa na wanaume .
3)NDOA HAIHESHIMIWI
Kuachana imekuwa ni rahisi tu,kuwa single mother single father ni kitu cha kawaida,uvumilivu umepungua au haupo.
4)KUTOJITAMBUA KUKOSA AKILI/BUSARA/ULIMBUKENI
Kuna wanaotema bigi ji kwa karanga za kuonjeshwa.
Kuna wanaopata bahati au neema ya kuwapata wenza sahihi ila wanawaacha na kuamua kwenda kwa wanaume masharobaro au wanawake wenye muonekano mzuri au makali makubwa lakini wasio na akili.Mpumbavu huibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwwnyewe badala ya kuijenga.
Mwisho wa siku wakitendwa huko walikokimbilia ndio hukumbuka shuka na kutaka kuyarudia matapishi.
5)KUKOSA UNYENYEKEVU
EGO kuwa juu kuna wakati inabidi kwenye baadhi ya vitu ujishushe uwe mjinga na yeye kuna baadhi ya vitu awe mjinga ili mfike kati kati mwende sawa.Yani kuna vitu kila mmoja havipendi kitoka kwa mwwnzake kila mmoja awe tayari ku compromise ili mfike kati.KUSIKILIZANA ,KUVUMILIANA ,KUHESHIMIANA.
6)UPENDO ndio cha mwanzo unatakiwa ujue kwanini mwenza wako ameamua kuwa na wewe na wewe kwa nini umeamua kuwa na yeye.Kupata muda wa kuchunguzana na kujua kuna upendo .Kama ni mwenzako anakuhitaji kama wewe unavyomuhitaji yeye.Yani mapenzi ya upande mmoja.
Mi naamini kama una akili timamu inteligence ndogo ya kumsoma au kumchunguza mtu,ni rahisi kujua huyu mwenza niliyenaye ana sifa za kuingia naye kwwnye agano la ndoa au hapana.Kusoma dalili ya mvua ni mawingu.Mana anayejipiga mwwnyewe halii.Yani kuna sehemu unajichomeka unaona kabisa hapa ni kwenye hamna unategemea atakuja kubadilika ndani ya ndoa sio rahisi.
Kama kulikuwa na uzi kuna mtu alikuwa anasema anataka aoe baa medi sasa ina maana huyu anataka kubadilisha daladala iwe gari binafsi,au sumu kwa kuionja
Ipo njia ionekanayo njema machoni pa mwanadamu ila mwisho wake ni mauti
NI VIZURI TUONGOZWE NA AKILI SIO HISIA ZA MAPENZI
Pia tuongozwe na Mungu katika kupata mwenza sahihi.
NI BORA KUZIBA UFA KULIKO KUJENGA UKUTA.
Ni bora kuachana katika hatua ya uchumba kabla ya ndoa kama utapata muda wa kutosha wa kuchunguzana katika hatua ya uchumba kabla ya ndoa.,kuvunja uchumba ni bora kuliko kuvunja ndoa.
Usidanganyike Mke mwema mtu hupewa na BWANAcomment bingwa sana hii mkuu nipe hiyo code vitu vya kufanya wanawake wa sasa wajifanya wajuaji sana bora kumlaza akili
Na bado hali itazidi kuwa mbaya zaidiKumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
Kiriba kipya, mfumo mpyaMifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Heri wewe umeliona hilo, siku za mwisho hizi asomaye na afahamu!Na bado hali itazidi kuwa mbaya zaidi
😄😄😄 Usiende mnaeza uliwa wote.Hapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewa