Jambo gani ulishalifanya likakupa aibu ambayo hautaisahau?

Jambo gani ulishalifanya likakupa aibu ambayo hautaisahau?

Nakumbuka kufumaniwa redi hendedi na Maza nikimgegeda Hausi Gelo, Wacha nipewe mawaidha kuhusu Ukimwi wakati huo hata la kwanza sijaanza, nikawa naona maza ananiletea Rege tu na stori zake za Ukimwi ambao wakati huo hata nilikuwa sielewi ni kitu gani..
 
Mmh!! ulipona mapanga kweli, maana kina POTI watu wa shari sana huko...

Siku ambayo nilipata aibu ni Pale Nilipoenda kutembelea Ukweni, Bunda-Mwanza
Mida ya Jioni nikatolewa Out na Mchumba, Nilipiga Maji kisawasawa, Mida ya Night nikaenda zangu kulala kwenye chumba nilichotayarishiwa
(sikutaka kulala na mchumba Ukweni).
Night kali mkojo ukanibana,nikatoka zangu mpaka chooni, mida ya kurudi chumbani si nikasahau chumba nikaingia chumbani kwaBaba Mkwe (Mke alienda kwao) nikajitupa kitandani na kuuchapa usingizi.
Kulipopambazuka ile nafumbua jicho tu nakutana na kundi la Mawifi, Mama mkwe mdogo, Mchumba na Wajomba zao, kujipapasa hv kumbe niko chumbani kwa Baba Mkwe.
Unadhani nini kilifuatia....................Changamsha Ubongo wako.
Ila nikilikumbuka lile tukio,Afanaleki.......!!!!!!!
Maana huyo aliyewahi kuwa mchumba wangu aliwahi kuja field kazini kwetu, nilionaje aibu thatha.
 
Gari busy ndo nini na wewe? Afu si ulisifiwa umeokoka wewe?
Lilikua gari busy nini?

afu wewe una kiherehere, nilishasema staki huu utani. Aisee sijawahi kuhadithia mtu na huyu mshkaji ni mshkaji damdam yaani. Na hajawahi nitania!
Hahahahaaaa mamaaa wa Air Polution
Copy kwa Paw

hivi unajua siwezi hata kulitamka hilo tendo kwa.kiswahili. Haya maadili ya Mtambuzi yananitesa! Afu ze wind yenyewe ilikuwa kama kimbunga ivan!
hahahaha 'ze wind'

unanisingizia mie mpoleeee. Sina hata vituko.
Ntakuongezea na laki moja ya Air polution
Heheheee we una vituko King'asti
 
Last edited by a moderator:
La kwanza? Hapo angeongelea gono tu. Hata michubuko hakuna, manake sio kibamia ni kipilipili, kha!

Umeanza zamani eeh?
Nakumbuka kufumaniwa redi hendedi na Maza nikimgegeda Hausi Gelo, Wacha nipewe mawaidha kuhusu Ukimwi wakati huo hata la kwanza sijaanza, nikawa naona maza ananiletea Rege tu na stori zake za Ukimwi ambao wakati huo hata nilikuwa sielewi ni kitu gani..
 
Na wewe! Yaani unaenda kupiga maji ugenini? Duh, sikuwez. Pole sana, na hao jamaa wazinzi sana seems, wanaogopa wakwe kama ukoma. Hata kupita mbele ya baba mkwe hairuhusiwi.

Huu ni mjadala mpya lakini mila za kwetu haungelala kwao kijana. Ungelazwa kwa jirani ama ndugu mwingine. Na hata kukiwa na msiba Paw hawezi kulala kwa babangu, analala kwa kaka. Kiasi kwamba kituko kama hicho hakina impact.
Siku ambayo nilipata aibu ni Pale Nilipoenda kutembelea Ukweni, Bunda-Mwanza
Mida ya Jioni nikatolewa Out na Mchumba, Nilipiga Maji kisawasawa, Mida ya Night nikaenda zangu kulala kwenye chumba nilichotayarishiwa
(sikutaka kulala na mchumba Ukweni).
Night kali mkojo ukanibana,nikatoka zangu mpaka chooni, mida ya kurudi chumbani si nikasahau chumba nikaingia chumbani kwaBaba Mkwe (Mke alienda kwao) nikajitupa kitandani na kuuchapa usingizi.
Kulipopambazuka ile nafumbua jicho tu nakutana na kundi la Mawifi, Mama mkwe mdogo, Mchumba na Wajomba zao, kujipapasa hv kumbe niko chumbani kwa Baba Mkwe.
Unadhani nini kilifuatia....................Changamsha Ubongo wako.
Ila nikilikumbuka lile tukio,Afanaleki.......!!!!!!!
Maana huyo aliyewahi kuwa mchumba wangu aliwahi kuja field kazini kwetu, nilionaje aibu thatha.
 
"My mom and dad are very religious.
At night I hear them scream "Jesus"! "

Hayo ni maneno yaliyomtoka binti yangu siku tupo mezani wakati wa "dinner" ya familia, baada ya uncle kumwomba aseme neno lolote kumhusu baba na mama.
Mwanaume kichwa chini unaambiwa !!!

Hahaha......hiyo kali mtoto kumbe anasikiliziaga
 
Hahaaaa aisee lol
Mi nililala church siku ya jumatano ya majivu pale St. Joseph tukiwa tunangoja misa ianze coz niliwahi sana nikawa naota...nkaota naanguka lol nilikurupuka kwa speed balaa yan full aibu uzuri nilikuwa nimepakana ma wazee so walijua nimechoka tu.
Baada ya hapo sikulala tena na huwa silali church

Hahaha......ulikuwa na ndyofu kichwani nini?
 
Na aibu za umri ule, maskini kama nakuona vile. Dah, pole sana. Yaani ukikutana na mmoja wao wasimulie tu ucheke kiishe!
mi nakumbuka nilipokuwa msichana mbichi kuna vibrazamen vilikuwa vinakaaga kona fulani mtaani, kila nikipita they sing praises mi bichwa hiloo sasa si kujipitisha uko.
Sasa kuna kipindi mvua ilinyesha na kuacha madimbwi ya maji, wenye maarifa yao wakawa wanaweka vitofali watu wakanyagie. Siku hiyo mwenyewe na madoido yangu napita kona ya wale mabishololo nikakutana na dimbwi la maji nikakanyaga kitofali cha kwanza cha pili yarabi tobaa! kumbe kuna wahuni wametegesha kipande cha kigodoro, niliingia dimbwini mzima mzima......niliwasikia wale mabishoo wakicheka, si aibu hiyo! sikugeuka nyuma na pozi lote lilikata
Nikabadilishaga na njia
 
"Kuna siku nilienda ukweni sasa wifi/shemeji yenu akaniwekea misosi mezani nilikua na njaa balaa nikaanza mara pilau mix na wali njegere,kula maembe mix mapapai nikamlizia na juice ya passion na maji ya uhai lita moja Duuuu baaada ya nusu saa tumbo likavurugika nikamuomba mchuchu anielekeze toi nikaingia toi pale nikashusha mzigo baada kama ya dkk mbili hv mother mkwe anagonga na yeye anataka kuingia nikasema ngoja nijiswafi fasta fsta na kuflush mizigo kucheck maji yamekatikaaaa" By Noorah-Vijimambo
 
Siku ambayo nilipata aibu ni Pale Nilipoenda kutembelea Ukweni, Bunda-Mwanza
Mida ya Jioni nikatolewa Out na Mchumba, Nilipiga Maji kisawasawa, Mida ya Night nikaenda zangu kulala kwenye chumba nilichotayarishiwa
(sikutaka kulala na mchumba Ukweni).
Night kali mkojo ukanibana,nikatoka zangu mpaka chooni, mida ya kurudi chumbani si nikasahau chumba nikaingia chumbani kwaBaba Mkwe (Mke alienda kwao) nikajitupa kitandani na kuuchapa usingizi.
Kulipopambazuka ile nafumbua jicho tu nakutana na kundi la Mawifi, Mama mkwe mdogo, Mchumba na Wajomba zao, kujipapasa hv kumbe niko chumbani kwa Baba Mkwe.
Unadhani nini kilifuatia....................Changamsha Ubongo wako.
Ila nikilikumbuka lile tukio,Afanaleki.......!!!!!!!
Maana huyo aliyewahi kuwa mchumba wangu aliwahi kuja field kazini kwetu, nilionaje aibu thatha.

Mmmh kweli hii aibu, mchumba alielewa umekosea mlango kweli?
he he he nadhani asubuhi ulifungasha vyako!!!!!!
 
Hii ndo kubwa kuliko yani aibu ya maisha......
nlikuwa mdogo kama 6 yrs hivi, nimetumwa shop kupita mtaa wa pili nikakuta kitoto kinacheza cha kike kidogo zaidi yangu enzi hizo mi nikimuona mtoto lazma nimchokoze sijui pepo! nikakiambia kile kitoto "we ntakugegeda" bila hata tafsida!!! kile kitoto kikapiga kelele mamaaa huyu anataka kunigegeda, maza akatoka nje na dada mtu....ikabidi nitoke nduki niko peku gauni linapepea tu kumbe wakanijua aggggrrrrr! muda si mrefu wakahama mtaa huo nikajua aibu imeisha kumbe ndo inaanza....
Yule dada mtu akaja kusoma primary school nilokuwa nasoma nilikuwa nakosa raha kila nikimuona make alikuwa ananiangalia, nilivomaliza nikafurahi heee kwenda o'level yule dada huyu hapa agggrrr, nikafurahi tena nlivomaliza pia na A'level hatukusoma wote nikajisemea ehuu afadhali....niko zangu chuo mwaka wa 2 huyo dada huyu hapa afu it seems na yeye anakumbuka!!!

Yani nikikumbuka hili natamani siku zirudi nyuma nisitamke nilichomwambia huyo dogo aaah!!!!!!!!!sitasahau!
 
Back
Top Bottom