Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Unakuta mwanaume unanunua malaya, kisha umekubaliana nae umlipe elfu 50. Ukiwa kitandani 6x6 unaanza kumnyonya ziwa, mara kum a mara unajitahidi kupiga style za miguu yote. Yote haya ni kutaka kumfurahisha malaya , akuone wewe ni mwanaume rijali una show ya kibabe..Upuuzi mtupu yani unalipia elfu 50 na bado unataka umfurahishe huyu malaya. ...Kifupi hiyo ni laana ya utumwa

Acheni kuwa utumwa...moderfackaz
 
Kwema wakuu.

Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda.

Share jukwaani ni jambo gani? Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
Hakuna, ila kuna mtu humu namfuatilia ni kama nimemwelewa hivi 🀭 πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kuna mdogo wangu baba mkubwa huwa akija nyumbani kwangu anakuja mida ya kula ili agongee msosi, kuna watu hawana aibu kabisa

Yani kuna siku alikuja na tulikula mapema, eti akalala kwenye sofa na soksi zake zilizotoboka ikabidi tu ugali usongwe nikaliamsha lile.

Ana hela zake nzuri tu, sio kwamba ana njaa ya msosi. Ila aibu hana

Though kuna mtu alinambia jaribu kukaa nae karibu labda kuna jambo linamtatiza. Bado sijaelew

Bado sijapata nguvu ya kumkataa
 
duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…