Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Wako wengi wa dizaini hiyo mkuu lakini ndo hivyo tena.

Hii tabia ya mtoto wa kiume kupenda vya bure hata Poor Brain anaipiga sana vita.
 
Kuna mda watoto wanalushwa na kulazwa mapema ili nipate mda mzuri wa kula na mke wangu. Watoto wasizingonge, ila amaa anakula pale story za siasa dah instead of having dining experience, na mchana nimekula kwa restaurant jau sana
 
Mkuu badilisheni ratiba ya kula ili huyo jamaa ajishtukie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜….
Ila labda anakuja kupata kampani sababu ya upweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ