secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapana mbege ikiwanogea itawazubaisha aise.We ndio unawaangusha wenzako badala ya uwasafirishie mzigo wa mbege uwachangamshe changamshe unalalamika tu
Hivi man u bado ipo ligu kuu kweli au me nlijua wapo championshipππHapana mbege ikiwanogea itawazubaisha aise.
We angalia performance ya Manchester united tangu Ommy dimpoz alipopewa tenda ya kuwapelekea mbege.
Wamedrop kinoma.
Jamaa keshakuwa addicted, hata kama nikimwambia hawezi acha..Hapo kinachokukwamisha kumwambia ni uoga au ni jamaa haambiliki.
Amini nakwambia kuna watu hawana aibu kabisaMkuu badilisheni ratiba ya kula ili huyo jamaa ajishtukie ππ .
Ila labda anakuja kupata kampani sababu ya upweke.
Halafu watu wa hivyo Wana mastori ya kuvutia ile usimfikirie vibaya ukiwa naye.Amini nakwambia kuna watu hawana aibu kabisa
Bado natafakari njia za ziada akirudo safari
Naamini mwakani lazima mwakani washuke daraja.Hivi man u bado ipo ligu kuu kweli au me nlijua wapo championshipππ
Wana taka tuwe wangese sasaRais Intelligent businessman kumbe haturuhisiwi hata kudinda member wakoπ€
Kwahiyo hii Sheria niifate au niikatae mkuuπWana taka tuwe wangese sasa
Ahh ruksa kuwakaza mademu kijana, hata raisi wenu NinaoKwahiyo hii Sheria niifate au niikatae mkuuπ
Haipingwi hiyo nitajikaza tu nisionge asilimia nyingiAhh ruksa kuwakaza mademu kijana, hata raisi wenu Ninao
Kumwomba msamahaKwema wakuu.
Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda.
Share jukwaani ni jambo gani? Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
duh! Aise hii ngoja niipeleke XNataka Samia ajitokeze na ID yake,tumalizane humuhumu...siye watu wazima,jitokeze tuelekezane namna inayofaa kwenda.Tunapita Samia, familia zetu tutaziachia mzigo mkubwa sana, please let's talk
UZinifu sio rafiki mzuri kwa mtafutajiHahaha ruksa ngoja nisake wawili wakupiga threesome.
Siri yangu π π€mfungukie tu Auntie , una crush au umezama kabisa π