Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Wako wengi wa dizaini hiyo mkuu lakini ndo hivyo tena.

Hii tabia ya mtoto wa kiume kupenda vya bure hata Poor Brain anaipiga sana vita.
Kwann upende vya bure..
Mi napiga vita hata kufanya kazi ambazo huvuji jasho ..
Fanya kazi vuja jasho acha kazi.laini..
Acha kazi za wamama na wadada...

Uvivu wa kulima tuu na kutembeza nyanya
 
Mikel Obi anazingua anasikiliza mic dah
πŸ˜€
 
Kuna muda anakuwa na akili sana kuna muda anawaza mambo ya ajabu yale ya YAV au basi
πŸ˜…πŸ˜… kuna uzi mmoja alikuwa anamwambia msichana mmoja kuwa wamesoma wote yeye ni Amos et, yule msichana anasema hamjui Poor Brain kakomaa kumwambia akumbuke vizuri wamesoma wote, hapo ndo nilijua akili yake anaijua yeye tu πŸ˜…πŸ˜…
 
Labda huwa anasahau akili nyumbani kwamba akiwa kazini ata type hovyo hovyo akiwa nyumbani ana type vitu vinavyoeleweka.
 
Mkuu yule ni Marry Diana daag namjua kweli ni vile kanikataa humu jf tyu

Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…