Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa.

kama unakera jua unakerwa pia.

je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k.

YANGU:

UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE .

UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI NDIO ANAKUJA KULA YAANI NI KAWAIDA AU NI WATU NAOKUTANA NAO.

HUWA NIKISIKIA HIVYO NAMTENGEA CHAKULA CHAKE USHIKAJI KAZI SAANA.

HATA UNAWE NA SABUNI SIPENDI HUWEZI KULA NDO UENDE CHOONI UKO.
 
Hii jera IPO kula kwanza ndo upenge kamasi,uende chooni,ulifanya kinyume uklnakaribisha mkong'oto!
 
Back
Top Bottom