Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

Wadanganyika ni mbumbumbu, elimu duni umesababisha uwezo mdogo wa kufikiri.
 

Bila shaka hayo ndiyo majina hailisi ya kina johnthebaptist, @lucas_mwashambwa au Etwege wa mtandaoni ..
 
Upuuzi mtupu
 
Nasikia huko wameuchukua tena πŸ˜„

Ova
 
NChi imekua ya ajabu sana
 
Huku kizimkazi mpaka sasa hivi hakuna umeme Toka alafajiri
 
Kuna watu nchi hii ni wapumbavu kupindukia. Unamshukuru vp rais wa nchi kwa kufanya jambo ambalo ni wajibu wake kulifanya. Anatakiwa ahakikishe nchi Ina umeme muda wote.
 
Mamilioni ya Wanadsm wamemshukuru sana Rais Samia kwa kurejesha umeme uliokatika jana usiku kutokana na hitilafu kwenye Grid ya taifa

Mama ameupiga mwingi mamilioni tumemshukuru Wapinzani na Chadema mlituchelewesha sana

Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040 maana anaupiga mwingi mno
 
Haya machawa yanauzi sana yani umeme upi umekuwa stable mnamuharibia huyu mama sababu ya kumpumbaza ili muendelee kuiba.
 
Kwamba katufanyia hisani sio?

Mna ufukara wa fikra mno wapumbavu nyinyi
 
Hizi Nyuzi zenye Maudhui ya kulamba Masungilo zimekuwa nyingi hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…