Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.

=====

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa iliyodumu kwa saa kadhaa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema walikuwa na hofu ya bidhaa walizoziacha kwenye jokofu kuharibika kwa joto kali lakini hatua ya kurejea kwa umeme imeleta ahueni kwao

“Watu wengi sana ikiwamo mimi bado wapo kwenye sikukuu na walitumaini kwamba bidhaa zao zingekuwa salama kutokana na kutokukatika kwa umeme kwa siku nyingi, sasa usiku umeme umekatika ghafla sijui ingelikuaje kama usingerejea mapema” Amezungumza Amina Rajab mkazi wa Magomeni Kota.

Naye, Ramadhani Mubaarak ambaye amejiajiri kupitia mtandaoni amesema yeye amefika kazini akiwa hajui kama umeme utarudi ama la lakini kabla ya kupata athari zaidi katika kazi yake, umeme ulirejea.
Wadanganyika ni mbumbumbu, elimu duni umesababisha uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Usiku wa leo Aprili 1, 2024 wakazi wa maeneo mengi nchini walishikwa na bumbuwazi baada ya umeme kukata ghafla ambapo mapema asubuhi Shirika la umeme Tanzania TANESCO likarejesha huduma hiyo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababishwa na kiwango kikubwa cha maji kwenye mitambo ya kufua umeme ya Kidatu kilichopelekea mitambo kujizima kwa ghafla ili kujilinda.View attachment 2950819

Bila shaka hayo ndiyo majina hailisi ya kina johnthebaptist, @lucas_mwashambwa au Etwege wa mtandaoni ..
 
Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.

=====

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa iliyodumu kwa saa kadhaa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema walikuwa na hofu ya bidhaa walizoziacha kwenye jokofu kuharibika kwa joto kali lakini hatua ya kurejea kwa umeme imeleta ahueni kwao

“Watu wengi sana ikiwamo mimi bado wapo kwenye sikukuu na walitumaini kwamba bidhaa zao zingekuwa salama kutokana na kutokukatika kwa umeme kwa siku nyingi, sasa usiku umeme umekatika ghafla sijui ingelikuaje kama usingerejea mapema” Amezungumza Amina Rajab mkazi wa Magomeni Kota.

Naye, Ramadhani Mubaarak ambaye amejiajiri kupitia mtandaoni amesema yeye amefika kazini akiwa hajui kama umeme utarudi ama la lakini kabla ya kupata athari zaidi katika kazi yake, umeme ulirejea.
Upuuzi mtupu
 
Nasikia huko wameuchukua tena 😄

Ova
 
NChi imekua ya ajabu sana
 
Huku kizimkazi mpaka sasa hivi hakuna umeme Toka alafajiri
 
Kuna watu nchi hii ni wapumbavu kupindukia. Unamshukuru vp rais wa nchi kwa kufanya jambo ambalo ni wajibu wake kulifanya. Anatakiwa ahakikishe nchi Ina umeme muda wote.
 
Mamilioni ya Wanadsm wamemshukuru sana Rais Samia kwa kurejesha umeme uliokatika jana usiku kutokana na hitilafu kwenye Grid ya taifa

Mama ameupiga mwingi mamilioni tumemshukuru Wapinzani na Chadema mlituchelewesha sana

Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040 maana anaupiga mwingi mno
Screenshot_20240401-193512.jpg
 
Haya machawa yanauzi sana yani umeme upi umekuwa stable mnamuharibia huyu mama sababu ya kumpumbaza ili muendelee kuiba.
 
Kwamba katufanyia hisani sio?

Mna ufukara wa fikra mno wapumbavu nyinyi
 
Hizi Nyuzi zenye Maudhui ya kulamba Masungilo zimekuwa nyingi hapa JF.
 
Back
Top Bottom