Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani baharini kuna ukuta mkuu?" Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!"
Pacific Ocean inafika Nigeria??????? JF members tuwe tuna heshimiana please.
Umasikini na njaa kama chupi na tako tuMvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie.
Baadae kampuni ya Pacific seafood ya nchini Marekani iliposikia habari za kuvuliwa kwa samaki huyo adimu duniani ilitangaza offer ya 30,000$ kwa kila kilo sawa na TZS 69M kwa kilo, ambapo ingelipa jumla ya 2.6 US$ million sawa na Tshs bilioni 6 kwa kilo zote 87. Lakini wakati kampuni hiyo inatangaza offer hiyo tayari samaki huyo alikua ameshaliwa na kuisha.
Frank Dulcich Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Pacific Seafood amesema kitu ambacho mvuvi huyo hakujua ni kwamba wakati anafurahia kutafuna minofu ya samaki huyo, alitafuna pia urithi wa familia yake vizazi na vizazi.
"As he was eating together with his villagers, he didn't know that he has eaten the wealth for his generations to come" amesema Dulcich.!
Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!
Huko mlipowavua mnaruhusiwa kufika ilo eneoBahari ya Hindi tumewavua Sana deep sea wanafika Hadi kilo Mia Tatu huku wanaitwa Samusuli Wana msumeno mbele
Kamvue tena sasa ivi uconnect na iyo kampuni upige ela....Huyu tumevua sanaView attachment 1721532
Kamvue tena sasa ivi uconnect na iyo kampuni upige ela....
soma kilichoandikwa. wanapatikana bahari ya pacific TU. unadhani samaki nao wanazurura zurura kama wewe?ndo maana kuna samaki huwezi wapata huku TZ ila unawapata sehemu nyingine mbali huko. na hizi ni bahari zenye maji yenye sifa tofautikwani baharini kuna ukuta mkuu?
Nadhani inapunguza ili kumuepusha mlaji na magonjwa ya zinaa na pesa zake ziendelee kukaaa kwenye wallet kwa siku nyingiinaongeza nguvu za kiume
Wanaelewa wale tu wa kuanzia form 1 na kuendelea
Oky hapo sikupitia vzr mkuuWasingemkula wangemuuza kwa pesa ndefu sana
Shetani mjinga sana...hapo anawacheka kipembeni ujinga aliowafanyia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Doh wamepishana na gari la mshahara.
One time tunapita Nungwi kutokea pemba nilimuona mwenye maji ilikua mchanaBahari ya Hindi tumewavua Sana deep sea wanafika Hadi kilo Mia Tatu huku wanaitwa Samusuli Wana msumeno mbele