Lazima Watamu KOLIMBA tu...Kinachozuia wasimdunge, sio msimamo, bali who is behind him!, hakuna mtu alikuwa na msimamo kama yule Blaza wangu, na walimdunga!, hizi figisu zikiendelea, then ikibidi..., ndio itakuwa kama vile na kuumaliza mchezo kama vile!.
P
Kabla hawajam kolimba, huyo anayekolimba wenzake, atatangulia yeye!.Lazima Watamu KOLIMBA tu...
Who is behind him!Kinachozuia wasimdunge, sio msimamo, bali who is behind him!, hakuna mtu alikuwa na msimamo kama yule Blaza wangu, na walimdunga!, hizi figisu zikiendelea, then ikibidi..., ndio itakuwa kama vile na kuumaliza mchezo kama vile!.
P
The KMWho is behind him!
Sawa tu..Wataondoana wote...Kabla hawajam kolimba, huyo anayekolimba wenzake, atatangulia yeye!.
P
Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Kuna yule tukunyema anayeitwa Festo Kiswaga kule Twitter kuandika hivi ila Kwa Kiingereza japo hapo Mwisho mmetofautiana , Yeye anaonekana Kusema ni Makamu ndiye anashughulikiwa ila wewe inaonekana ni Samuya ndiye anashughulikiwa Je nani yuko sahihi kati yenu?
Msimamo lakini pia kawatangulia na katengeza wengi..Na Ana msimamo bila msimamo wangesha mdugai
Kila anachoandika Kiswaga kwenye mtandao wa X, nawe unakujaga kuweka humu, unachofanya ni kubadilisha lugha tu. Ila hakuna chochote kitakachotokea, achana na ramli chonganishi.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Umekua sasa Hongera mkuu!No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Mzee wa John Mkimbizi naona unapiga fundo mdogo mdogo.The KM
P
Mzee Shebughe na miluzi imekuwa mingi sanaaaaMimi naitwa Mzee Tomaso Shebughe kutoka Lushoto Tanga. Mpaka jambo litokee ndiyo ninaamini. Nje ya hapo, huwa siamini chochote.
Ni sawa na ukiona mawingu ukasema mvua itanyesha, halafu isinyeshe.Huyo alisema Samia hagombei,alipogombea akasema hatoboi March
Leo umeshika panga hutaki utaniKabla hawajam kolimba, huyo anayekolimba wenzake, atatangulia yeye!.
P