secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #41
Ndugu nakusihi uokoke na uone muujiza wa yeye aliye juu.Yesu hakuacha dini.
Mimi ni mkristo. Maana yake mfuasi wa kristo.
Wakusanyikapo wawili watatu kwa ajili yake, teyari ni kanisa.
Hajasema dhehebu.
Ukifata madhehebu utapotea
Unatakiwa ufanyiwe maombi ya ukombozi , na kuvunja nira za adui .Huwezi kuokoka ukiwa hai.
Lazima usikie na kukiri yesu ni mwokozi wa maisha yako, lazima utubu.. ubatizo wa maji mengi ni lazima kama unataka kuwa mkristo kamili
Adui ni nani?Unatakiwa ufanyiwe maombi ya ukombozi , na kuvunja nira za adui .
Najua sio battle nachotaka tukusanyike wawili ili bwana awe kati kati yetu wakati nakuuliza maswali kadhaa yanayonitatizaMkuu hii sio battle, tunajaribu kuelimishana.
Karibu
AiseeNdugu nakusihi uokoke na uone muujiza wa yeye aliye juu.
Juzi kati mungu kaonesha ukuu wake pale gesi ilipopulizwa hadi ikajaa.
Twende kazi mkuuMkuu nikianza kukupiga maswali ya kidini unaweza kunijibu vizuri?
Unaweza kuuliza hapa kwa faida ya ummaNajua sio battle nachotaka tukusanyike wawili ili bwana awe kati kati yetu wakati nakuuliza maswali kadhaa yanayonitatiza
😂😂 yaan leo usiku wangu umekua mzurii nacheka mpka nagaragaraUnatakiwa ufanyiwe maombi ya ukombozi , na kuvunja nira za adui .
Roho wa Mungu kanionyesha kuna nira za yule mwovu zinakufuatiliaAdui ni nani?
Ni kweli Mungu yupo ?Unaweza kuuliza hapa kwa faida ya umma
Ni salamu gani unaitimia kati ya, 'timsifu yesu kristo' na 'bwana yesu asifiwe'.Twende kazi mkuu
Kwanza maneno mengi tunayotumia wafuasi wa YESU pamoja na mohamed, tunayabeba kama yalivyo
Mfano: neno shalomu au shalom ni neno la kiebrania lililo tumiwa na wayahudi na kanisa la kwanza
-shalomu maanake ni amani hata ukisoma kitabu cha waamzi 6:24 utakuta kuna mtu anaitwa gidion amejenga madhabahu na kuyaita yehova-shalom yaani madhabahau ya MUNGU WA AMANI
Hili neno wafuasi wa mohamed saw mnalitumia kwa kusema assalaam alaykum
hivo hiz ni salamu za kimapokeo kutoka mashariki ya kati ambapo hao mitume wetu hususani YESU KRISTO, MUNGU katika mwili aliishi na kufanya huduma yake ijapo alikuja hadi afrika.
Si mtuache jamani😬Shallom ni salam ya israel kama kusema habari hapa Tanzania.
Cha kushangaza walokole wameifanya salam takatifu
Unakumbuka niliandika imani ni bayana ya mambo ya kiroho, mambo yasiyo-onekana. Kama una utashi wa kutosha unaweza kuelewa kupitia hio mistariNi kweli Mungu yupo ?
Yupo wapi?
Nimecheka, sasa kwanini umeanzisha huu uzi?Nina hofu ya mungu mkuu. Nisije chomwa bure.
Hakosolewi Mungu bali walokoleKulikoni mada za kumkosoa na kupinga uwepo wa mungu mbona ni nyingi sana
Shukran sana🙏Unakumbuka niliandika imani ni bayana ya mambo ya kiroho, mambo yasiyo-onekana. Kama una utashi wa kutosha unaweza kuelewa kupitia hio mistari
Mungu yupo, ila ukitaka mtu wa kukuthibitishia yuko wapi?
Hakuna anayeweza kutimilizia hilo hitaji lako.
Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu yuko wapi.
Ila Mungu anaishi ndani ya mioyo yetu.
Tunaweza kuthibitisha kwa matendo yetu kati yetu.
Wahenga walisema: "ukimnyoshea mtu kidole kimoja, vitatu vinakunyoshea wewe."Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu" badala ya 'mbele ya mungu'.
Nasanzuka!
Nafanya tu sensa ili nijue wanampinga yesu ni wangapi humu. Sasa nimegundua Kuna Kila dalili yule mwovu amewashika wengi humu.Nimecheka, sasa kwanini umeanzisha huu uzi?