Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

Au yale maombi yao ya kusema ''Nina kubariki Mungu'', "Nina kutukuza'', hivi kiuhalisia kuna kiumbe anaweza kumbariki aliye mmiliki wa kila kitu? au kumtukuza ambaye utukufu ni wake wala hajapungukiwa?.

Wakisoma ktk biblia zao hakuna maombi ya namna hii wala hakuna mtu aliyeomba hivi, sasa hawa wafuasi wa dini haya maombi wameyatolea wapi?.

Na kuna wale wanaodai kuomba kwa kunena kwa lugha, lugha yenyewe ndio hizo TAKATAKA za shakarababaa, vitu ambavyo havina maana, ukiwauliza wanadai ni lugha ya kiroho, jamani hivi mnaijua lugha ya roho?, ktk biblia zao walionena lugha walitumia usemi unaojulikana na watu wengine yaani lugha za mataifa, je hawa wafuasi wa dini wameyatolea wapi haya maombi?.

Na kuna wale wao wanadai kuwa wanaomba kufanya vita na shetani, wachawi na roho chafu, ukiwauliza wanapigana vipi na adui yukoje, ana siraha zipi, ana mikakati gani, ana ukubwa+idadi ipi, au yuko mahala gani hawajui wao wanachotaka ni kukemea na kupiga makelele aisee😂😂😂.

Dini zote ni upuuzi lkn ukristo umezidi ujinga, yaani hawa watu wa hii dini hawafuati muongozo wa dini yao na mafundisho ya biblia wao wanaunda mifumo yao na kuita ukristo, ni tofauti na ile dini ya kihuni ya uislamu ambayo angalau wanafuata miongozo ya Qur'an bila mihemko na uvunjwaji wa sheria.

Ifike mahala Waafrika waamke washituke huu mchezo wa dini.

Maombi mnayokesha kuomba hayana msaada wowote, hayasaidii kitu wala hayatowai kubadiri jambo lolote maana hata kama huyo Mungu wenu angekuwepo asingeweza kusikiliza maombi yanayoombwa kwa kumkosea na kuvunja sheria zake.

Mtakesha kuomba na kuabudu hiyo Miungu yenu ya wazungu na waarabu lakn hakuna litakalobadirika.
 
Mimi namdogosha kwa sababu hayupo na hatatokea.
 
Hivi kwanini uombe kwa kudanganya?, kusema unaomba kuwa upo mbele ya huyo Mungu na wakati huo mwili wako upo duniani na yeye Mungu yuko mbinguni, nafsi na roho yako vipo ndani ya mwili wako hapa hapa duniani na si mbingun, je hapo mbele ya Mungu umefikaje? Na ktk biblia hakuna kiumbe ambaye ni mtu iwe kimwili au kiroho anaweza kumuona au kukaribia au kuwa ktk usawa wa Mungu, je hayo maombi ya wewe kuwa mbele yake mnayatoa wapi jamani?

Ujinga wenu wafia dini ni kudhani maombi ni kitu fulani unique ambacho ambaye si mfia dini hawezi kuelewa, au mnadhani maombi ni jambo la kuropoka maneno yoyote tu.

Mark this; soma biblia huo ujinga wa kujiombea kama mnawaomba wanadamu wenzenu sio mfumo wa biblia ni mfumo wa kihuni wa wachungaji aina ya mwamposa, mfumo huu umeletwa nje ya system ya ukristo, ndiomaana yale makanisa yanayoifuata biblia vizuri huwezi kuwakuta wanawehuka kama baadhi yenu wapumbavu wa kilokole.

Ukristo ni uhuni
 
Bwana YESU asifiwe

Vyovyote utakavyokuja nakupokea hivyo hivyo hata ukija ki mwamakula mwanakondoo ameshinda nitakujibu ili mradi usimsifie shetani
Naanza na maswali marahisi, twende kazi.

Hivi watu waliokufa kabla ukristo haujaingia huku Afrika sasa hivi wako motoni ama peponi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…