Upo chumbani kwa secretarybird halafu unaongea na wanaume wengine ๐Basi nisameheweeee nimefuta tayali kwan hapa ni wap?
Nishafuta kitambo sitaki kukukera mieUsifutee, subiri kijana aje na mrejesho tuone tunapata ngโombe ngapi!
Chukua jiko mdogo wangu unatesekaga SanaMwali weweee olololooo
Mpe na yule pale mpe bia,Hivi watu waliokuwa kabla ukristo haujaingia huku Afrika sasa hivi wako motoni ama peponi?
Unaharibu sasaNishafuta kitambo sitaki kukukera mie
Analemba lemba mwandiko ๐Upo chumbani kwa secretarybird halafu unaongea na wanaume wengine ๐
We mzuri Mwali wewewee olololoooNishafuta kitambo sitaki kukukera mie
I'm so excited ๐We mzuri Mwali wewewee olololooo
HahahaI'm so excited ๐
Angalia mama asione lakin
Oooho wewe ndiye niliyepewa na Mungu wewe ndiye chaguo langu fungu, aaah Mwali wewewee olololooChukua jiko mdogo wangu unatesekaga Sana
Wakati watu tuko nje ya muda sio๐Analemba lemba mwandiko ๐
Huyu hanaga shida mwali wanguI'm so excited ๐
Angalia mama asione lakin
Ukishibaga balimi una madini๐คOooho wewe ndiye niliyepewa na Mungu wewe ndiye chaguo langu fungu, aaah Mwali wewewee olololoo
Ngoja nimalize bia kwanza nakuja
Nje ya mada siku izi nasiki wanaume ndio wanaomba taa izimwe ๐๐Wakati watu tuko nje ya muda sio๐
Nilikunywa mwanza balimi zile sio bia ni mkojo wa pundaUkishibaga balimi una madini๐ค
HahahaUkishibaga balimi una madini๐ค
Lete basi na swaga za mbeleHahaha
Chemichemi yako ibarikiwe furahia mume wa ujana wako, aiii wewewe
Karibu tunye bia
Wana shida gani??Nje ya mada siku izi nasiki wanaume ndio wanaomba taa izimwe ๐๐
Kwani huko kwenu hazipo??Nilikunywa mwanza balimi zile sio bia ni mkojo wa punda