Acha kuwashwa washwa dogo. Kuna mnada gani tulifanya wewe na mimi?Usingekuwa na hoja za kitoto hivyo. Kila nikikutana na comment zako juu ya mnada yoyote, nyingi huwa ni mashudu matupu. Kama umekuwa kimwili jaribu kukua kiakili pia.
Aisee!Mama Samia S.H huyo Majaliwa baki nae atakufaa mbeleni, hao waliobaki ni uamuzi wako ila wafikirie kidogo hawa japo wana mapungufu ila wana Unafuu.
1.Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
2.Suleiman Jafo - Tamisemi
The rest kula vichwa kadri utakavyoweza
Peleken ujinga wenu hukoMajaaliwa ajiuzuru
Ili Mama Yetu, awe huru sasa
Asipovunja ategemee kukwamishwa au hata kuchukiwa kama alivyochukiwa mtangulizi wake maana baraza limejaa waganga njaa watupu wanaofikiria zaidi maslahi yao binafsi na sio maslahi ya kulisaidia taifa na watanzania wanao waongozaVipi akigoma kulivunja/kulisuka upya?
Majaliwa kassim atakubali kung'atuka kweli? Maana kwa ile speech yake aliyotoa chato!mmmmh!!Hakika mkuu.. ningekuwa mimi ningetoa hadi waziri mkuu ili niwe huru kuunda timu yangu ya ushindi!
Mnampotosha huyu mama, mnatafutia vita huyu mama CCM ni hile hile na watu ni wale wale au mnataka akalete mawaziri Zanzibar kwao?Hakika mkuu.. ningekuwa mimi ningetoa hadi waziri mkuu ili niwe huru kuunda timu yangu ya ushindi!
naskia skia kuwa jamaa ni mafioso sana😁😁😁Kumbukeni Mzee majaliwa alihakikisha kuwa anapita bila kupingwa kwenye jimbo lake na hakuna wapinzani waliothubutu kwenda kupiga kampeni jimboni kwake Luwangwa. Huyu anaweza kuwa mbaya sana kwa demokrasia kuliko hata JPM.
Wanataka kuchafua hali ya hewa hawa😁Kabisa, watu wanataka ccm wavurugane, hapo sasa..