Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Baada ya kuzika ni muda wa kuwaona wachumia tumbo wakijitokeza na kujifanya wajuaji wa mambo ili kuitafuta huruma ya mama Samia dhidi ya matumbo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo utakapomtaka na kumkubali Magufuli! Maana angewafukuza wote kwa maneno ya kibabe saana.
Lakini Mama wa watu anwaonea haya!
Mbona Marais wa nchi nyingine wanaongoza huku wakikosolewa na nchi za zinapata maendeleo kuliko TZSio vichwa vigumu bali ni wajuaji. Ndio maana ili utawale vyema ni muhimu kuwaziba midomo wapuuzi maana watakuyumbisha katika mission yako! Hiki ndio alikifanya Magufuli akaonekana katili ila dhamira ilikua njema kabisa.
Yani kuongoza Tanzania ni sawa na kufundisha darasa la wanafunzi 200 ukitarajia kutakuwa na hali ya utulivu na ustaarabu katika kuuliza maswali na majibu ila badala yake kila mtu ananong'ona na kuropoka ovyo bila utaratibu halafu kuadhibiwa hawataki.
Wana expect wafanyiwe ustaarabu ambao wao hawana, hao ndio watanzania bana.😁
Tuongozwe kama mifugo ipi? Kuna ng'ombe, mbuzi, sungura nguruwe. Watu wanafuga mpaka panya.Yes ofcourse, kwa nature ya watanzania wanatakiwa kuongozwa kama mifugo sababu ustaarabu ni kipengele kwao. Awe na elimu asiwe nayo wana asili ya ujuaji sana ndugu zetu hawa.
Ukiwa katili tunakuua kama jiwe kabla ya urais kuishaSafii
Hata ukivaa viatu vya Serikali unaona kabisa Wakati mwengine inawabidi wawe wakatili ili Mambo yaende
Maskini Nchi yangu
Katiba haisemi hivyo; soma katiba vizuri, usisomewe na wanasheria uchwara!Majaliwa anatakiwa aonyeshe njia, anapaswa kujiuzuru ili kumpa nafasi mama Samia kuunda baraza lake la mawaziri.
Kitendo cha Majaliwa kung'ang'ania madaraka ni kitendo cha aibu kwa taifa na kinaweza kutoa ishara kuwa huenda Majaliwa ni mmoja ya wahusika wa lile genge lililohisiwa kuwa linataka kumpora mama madaraka ya kiti cha urais.
Majaliwa onyesha njia sasa.
Jiuzuru haraka iwezekanavyo.
Kuna utofauti kati ya kutoa ushauri na kumpangia Rais cha kufanya.Upuuzi wa Tanzania ni Beyond repair. Huwezi kuta United States mtu anampangia raisi cha kufanya. Hamnaga huo utoto. Rais ni taasisi aachwe a act kwenye majukumu yake kwa namna ambavyo anastahiki.
Kwamba yeye mama samia is too weak kuvunja baraza la mawaziri? Ni anasema tu ametengua uteuzi wa majaliwa, shughuli inaishia hapo...Majaliwa anatakiwa aonyeshe njia, anapaswa kujiuzuru ili kumpa nafasi mama Samia kuunda baraza lake la mawaziri.
Kitendo cha Majaliwa kung'ang'ania madaraka ni kitendo cha aibu kwa taifa na kinaweza kutoa ishara kuwa huenda Majaliwa ni mmoja ya wahusika wa lile genge lililohisiwa kuwa linataka kumpora mama madaraka ya kiti cha urais.
Majaliwa onyesha njia sasa.
Jiuzuru haraka iwezekanavyo.
Apo sawa ajiuzulu basi ili arudishwe tena asije mpa mheshimiwa wakati mgumu haoni 'aibu au anataka kuwa jiwe!Mbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia 😁😁😁!!?
Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Eti nguli..!Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Wakili msomi!Eti nguli..!