James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

Baada ya kuzika ni muda wa kuwaona wachumia tumbo wakijitokeza na kujifanya wajuaji wa mambo ili kuitafuta huruma ya mama Samia dhidi ya matumbo yao
 
Kwa viongozi wa Afrika neno "kujiuzulu" wanaliweka kundi sawa na "kujiua", haiwezi kutokea. Asiporudishwa, si mke wake atamlaumu milele 😁 😁 😁
 
Mbona Marais wa nchi nyingine wanaongoza huku wakikosolewa na nchi za zinapata maendeleo kuliko TZ
Ina maana viongozi wetu ni vichwa panzi sana kiasi kuwa sauti kidogo tu za maoni tofauti zinawachanganya Hadi wanashindwa kazi?
Jiwe alikuwa kichwa panzi kiasi hicho au ni kiburi?πŸ˜‚
 
Unakuta mtu anasema tunakaka KATIBA mpya, Unamjibu Sawa Mzee, Sasa Kwenye hio katiba Mpya nini kiongezwe na Nini kitolewe Kwenye ile ya zamani ? HAWEZI kujibu lakini ana comment " Mama Samia anza na KATIBA "

Ndio kama hao kina Mbatia
Mama Samia hayuko obligated kisheria kuvunja baraza as long as she was vice President wa Serikali hio hio

Leteni hio kipengele inayomtaka Mama Samia kuvunja baraza
 
Katiba haisemi hivyo; soma katiba vizuri, usisomewe na wanasheria uchwara!
 
Upuuzi wa Tanzania ni Beyond repair. Huwezi kuta United States mtu anampangia raisi cha kufanya. Hamnaga huo utoto. Rais ni taasisi aachwe a act kwenye majukumu yake kwa namna ambavyo anastahiki.
Kuna utofauti kati ya kutoa ushauri na kumpangia Rais cha kufanya.

Ushauri- Rais anaweza kuufuata au hasiufuate.

Kumpangia Rais cha kufanya- hapa Rais analazimika kufanya kitu, ikiwezekana bila hata utashi wake.(Sidhani kuna Raia hapa Tanzania anaweza kufanya hiki kitu except watu waliokaribu na Rais nayo ni mara chache).


Labda kama unataka watu wapunguze kutoa ushauri.
 
Kwamba yeye mama samia is too weak kuvunja baraza la mawaziri? Ni anasema tu ametengua uteuzi wa majaliwa, shughuli inaishia hapo...
 
Mbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia 😁😁😁!!?

Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Apo sawa ajiuzulu basi ili arudishwe tena asije mpa mheshimiwa wakati mgumu haoni 'aibu au anataka kuwa jiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…