Uchaguzi 2020 James Mbatia: Chama chetu cha NCCR Mageuzi kinakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini

Je, watakao kuwa wabunge wapya wa NCCR Mageuzi Octoba 2020 wameshapewa maelekezo na Mwenye Kiti Mbatia kuhusu namna ya ruzuku Itakavyotumika? Isije tena baadae ikawa hivi au vile kuhusu ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana James anamrudisha Mabere Marando na Agustino Lyatonga basi kitanuka.
 
Shida ni kuwa chama kikuu au kuwa kweli chama cha upinzani? Hata mkipata wabunge 6 tu si tiyari mtakuwa chama kikuu cha upinzani?? Je, na kule visiwani mna mvuto au mtafanya kolabo?
Huyu alipewa bil 1 akaahidi kuivuruga Chadema, sasa ni lazima aseme hivyo ili wakubwa waliomlipa waendelee kumwamini
 
Sababu kuu ni kuwa atabebwa na mbeleko yenye masharti ya kuuunga mkono kila hoja itakayo pita pale mjengoni
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.

Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Aisee watu mna fikiria kwa haraka sana
chama kitatakiwa kushika dola sio kuongoza upinzani
hebu sema NCCR kitachukua serikali uone kama hutonyang'anywa hiyo tenda akapewa TADEA

In God we Trust
 
Cdm haiwezi kuuwawa kibudu namna hiyo maana chama ni wanachama ambao ndiyo chama
Huyu Mbatia wamecheza dili na CCM anapewa wabunge kati ya kumi au 20 alafu wanakuwa wachama chake wanaiuwa chadema.

Nccr Mageuzi wakiwa wana wabunge itaonesha kuwa uchaguzi ulikuwa bomba huru na wa haki ili wahisani wasitunyime misaada

Wakibaki peke yao tutapigwa dola ndio maana NCCR Mageuzi kwa sasa ni CCM B

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.

Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni makubaliano ya mgao yaliyofanyika white house
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachachs.View attachment 1454901

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tulitabiri mapema sana. Na mwezi October litatimia.
 
Hahaha ndio makubaliano yao waliyofikia Ikulu?

Wananchi/wapiga kura tunahitaji kushiriki au hii imepangwa na tume ya uchaguzi?

Mbatia uhakika huo anautoa wapi?

Kwanini NCCR imekosa wabunge chaguzi za karibuni?! Nini kimemfanya aamini atapata wabunge hata kabla ya kampeni?!
 
Akili ya Mbatia imeshaoza, hafikirii kuchukuwa nchi. Nahisi kule Ikulu walimgeuza si bure.
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachachs.View attachment 1454901

Sent using Jamii Forums mobile app
Over my dead body

Jr[emoji769]
 
Kwa hiyo kila Rais wa ccm anaanzisha chama chake kikuu cha upinzani
 
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.

Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi wa Magufuli unaamini kwenye mabavu. Mabavu yatatumika kuifanya NCCR kuwa main opposition shit
 
Ni kwa sababu hii CCM utawala sana, nadhani wakitibuana wenyewe ndio tutapata uelekeo mwingine. Kutoka "upinzani" huu wa sasa sitegemei lolote, ngoja niendelee kutafuta mkate wangu wa siku
 
Back
Top Bottom