Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanyia kazi mapungufu ya Chadema
Wao hawatukani,hawatumiki na Mabeberu ni Wazalendo nk
Tuombeane wote mkuu, Maana Mimi na wewe hayupo mwenye hati ya kuendelea kuishi milele, na Kwa kawaida ni lazima awepo mmoja wa kutangulia, si Mimi Wala si wewe, Ila Mimi binafsi Kwa moyo mweupe kabisa, sina kinyongo na wewe, nakuombea Kwa Muumba akujalie kila hitaji lako likatimie, uwe na maisha ya Amani na akupe upendo wa kuwapenda watu wote, akupe kuona thamani ya upendo jinsi ulivyoUsiwasingizie wananchi katika dhambi zenu. Tumeshuhudia uvunjwaji wa makusudi wa Sheria na Katiba ya nchi, uonezi na uminywaji wa haki kwa zaidi ya miaka minne...
AMENTuombeane wote mkuu, Maana Mimi na wewe hayupo mwenye hati ya kuendelea kuishi milele, na Kwa kawaida ni lazima awepo mmoja wa kutangulia, si Mimi Wala si wewe, Ila Mimi binafsi Kwa moyo mweupe kabisa, sina kinyongo na wewe, nakuombea Kwa Muumba akujalie kila hitaji lako likatimie, uwe na maisha ya Amani na akupe upendo wa kuwapenda watu wote, akupe kuona thamani ya upendo jinsi ulivyo
Samehe na kuwapenda maadui zako, ili Mungu unayemtumikia ajilipize yeye. Barikiwa mkuu
Tuombeane wote mkuu, Maana Mimi na wewe hayupo mwenye hati ya kuendelea kuishi milele, na Kwa kawaida ni lazima awepo mmoja wa kutangulia, si Mimi Wala si wewe, Ila Mimi binafsi Kwa moyo mweupe kabisa, sina kinyongo na wewe, nakuombea Kwa Muumba akujalie kila hitaji lako likatimie, uwe na maisha ya Amani na akupe upendo wa kuwapenda watu wote, akupe kuona thamani ya upendo jinsi ulivyoUsiwasingizie wananchi katika dhambi zenu. Tumeshuhudia uvunjwaji wa makusudi wa Sheria na Katiba ya nchi, uonezi na uminywaji wa haki kwa zaidi ya miaka minne...
hushiriki uchaguzi wewe na nani mkuu?Uko sahihi sana, na kwakuwa Magufuli sasa hivi ndio kinara wa kunajisi chaguzi za nchi hii, kamuahidi atamfanya chama kikuu cha upinzani. Uzuri ni kuwa hata akipewa viti vya ubunge na Magufuli, bado nguvu halisi ya chama cha siasa inapatikana kwa wananchi na siyo kupitia rais mwenye kiburi cha madaraka. Hivyo hiyo ni fadhila ya muda mfupi sana. Mmeshampotezea Lipumba mvuto, saa hii mmemtupa kama mpira wa kiume. Kama ccm yenyewe haina mvuto inategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ndio itaipa NCCR mvuto? Wananchi tumeshaamka tunajitambua vizuri, hakuna tume huru ya uchaguzi hatushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Hiyo ndio nguvu ya shetani. Wala hatoona aibu kuuimba tena.***** huyu ndiye aliimbisha watu "Bwana u sehemu yangu " jangwani wakati wa Kampeni 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwashangai, HATA akienda Polepole na mwingine na mwingine tena etc, hapohapo, utasikia nao kila mmoja kakusanya elfu hamsini, wakati kata/wilaya yenyewe in watu wasiozidi elfu mbili mia tano.Huko mara kakusanya wanachama zaidi ya elfu 30 bado tu huamini?
hushiriki uchaguzi wewe na nani mkuu?
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
chama kitatakiwa kushika dola sio kuongoza upinzani
hebu sema NCCR kitachukua serikali uone kama hutonyang'anywa hiyo tenda akapewa TADEA