Huyu alipewa bil 1 akaahidi kuivuruga Chadema, sasa ni lazima aseme hivyo ili wakubwa waliomlipa waendelee kumwaminiShida ni kuwa chama kikuu au kuwa kweli chama cha upinzani? Hata mkipata wabunge 6 tu si tiyari mtakuwa chama kikuu cha upinzani?? Je, na kule visiwani mna mvuto au mtafanya kolabo?
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe malengo ni kua wapinzani ila si kuchukua nchi...Sick boy
Msitutishe bwana, hata Pemba hatutapata wabunge wa upinzani?!October wataijua vizuri CCM.
Bunge lijalo kutakuwa na wabunge watatu tu wa upinzani...... Mrema, Shibuda na Cheyo!
Mbatia na Mbowe wanafanana kwa mambo mengi sana!
Kutakuwa hakuna tija yoyote bora hata Prof Lipumba!
chama kitatakiwa kushika dola sio kuongoza upinzani
hebu sema NCCR kitachukua serikali uone kama hutonyang'anywa hiyo tenda akapewa TADEA
Huyu Mbatia wamecheza dili na CCM anapewa wabunge kati ya kumi au 20 alafu wanakuwa wachama chake wanaiuwa chadema.
Nccr Mageuzi wakiwa wana wabunge itaonesha kuwa uchaguzi ulikuwa bomba huru na wa haki ili wahisani wasitunyime misaada
Wakibaki peke yao tutapigwa dola ndio maana NCCR Mageuzi kwa sasa ni CCM B
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni makubaliano ya mgao yaliyofanyika white houseNingependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tulitabiri mapema sana. Na mwezi October litatimia.Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachachs.View attachment 1454901
Sent using Jamii Forums mobile app
Over my dead bodyMwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachachs.View attachment 1454901
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kila Rais wa ccm anaanzisha chama chake kikuu cha upinzaniMwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachachs.View attachment 1454901
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi wa Magufuli unaamini kwenye mabavu. Mabavu yatatumika kuifanya NCCR kuwa main opposition shitNingependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app