Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAOTA MCHANAOctober wataijua vizuri CCM.
Bunge lijalo kutakuwa na wabunge watatu tu wa upinzani...... Mrema, Shibuda na Cheyo!
2010 mpaka leo ni muda mrefu sana kisiasa.
What do you mean! Nawe unaamini NCCR wanakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani?!Exactly
Shida ni kuwa chama kikuu au kuwa kweli chama cha upinzani?? Hata mkipata wabunge 6 tu si tiyari mtakuwa chama kikuu cha upinzani?? Je, na kule visiwani mna mvuto au mtafanya kolabo??
Ningependa aseme ni njia gani itakayotumika kukifanya NCCR kuwa tena chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwasababu kama ni mtaji wa watu naamini hana, na yeye mwenyewe analijua hilo, sasa ningependa awe na ujasiri wa kutuambia hiyo sababu nyingine ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasingizie wananchi katika dhambi zenu.UKAWA sasa = na UKIWA
Sasa Kwa mwaka huu kuna watu watajajuta Kwa kuwa washabiki wa Vyama kulikopindukia, kama wengine hatujawabeba machela Kwa vipigo vya wananchi wenye hasira Kali kwa kuwanyima Kura!!!
Yetu macho