ok kumbe ni nyie wawili tu!Mimi na mke wangu.
ok kumbe ni nyie wawili tu!
Mwamba Kuna ujumbe wako pmNchi utaichukuaje?
Tume ya uchaguzi ni sisimu...
Nilidhani angesema chama chake kitashika nchi kumbe anachopigania ni kushindwa na kuwa chama kikuu cha upinzani? What a backward mind?
Umenikumbusha alivyomsaliti JK wa pili. Nashauri tuendelee na Zitto, atafaa Sana.MWEMBESI ONE,
Mbatia na Mbowe wanafanana kwa mambo mengi sana!
Kutakuwa hakuna tija yoyote bora hata Prof Lipumba!
hahaha labda ndo wito wa Ikulu kipindi kileeeeeeeNadhani ndo walimwambia wanakwenda kukifanya Chama chake kuwa Chama Kikuu cha Upinzani?
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Mbatia amesema kuwa chama chake kimefanya utafiti na kugundua sababu zilizokifanya chama chake kuwa na wabunge wachache.
Chama cha NCCR- Mageuzi kinaelekea kurudi kwenye nafasi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, kama ilivyokuwa baada ya uchaguzi mkuu wa kwanza ndani ya mfumo vwa vyama vingi uliofanyika mwaka 1995" James Mabatia, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa
Hawara ya ccmMwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.