“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.