James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

Binadamu makini yeyote huwa anajua weakness na strength zake na pia za wenzake/washindani wake. Alichosema ndiyo uhalisia bila vyama vya upinzani kuungana kudai kwa pamoja watakwama...
Ccm ndio mmekuwa washauri bora wa Chadema tangu lini?
 
Huu ndio ukweli mchungu

Yaani hizi pesa za tozo msishangae zinatumika kuhonga wananchi na vibaraka wa upinzani 2025

Ila nawaambia uchaguzi Wa 2025 Ni uchaguzi mgumu Sana kuwai kutokea Tanzania

Mkicheza watu wanaingia barabarani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania.
Kabisa
 
“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?

Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF

“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Mbatia atapewa ubunge wa viti maalum na atakaa kimya
 
Ehheeee. Wasema kweli shekh. Jipange kumtoa hijab kwa kiti si rahisi
 
Huu ndo ukweli, huku mtaani watu tuna hasira, maisha magumu kweli
1: tozo nyingi kila sehemu
2: gharama za matibabu zimepanda sana
3: gharama za kutumia tu simu zimepanda maradufu, (bundle)
4: nauli zimepanda sana
5: ajali kila kukicha
6: Tozo ya luku ni hatari

Kiujumla Tanzania hatujafika hatua ya kuongozwa na mwanamke,kwanza tu maandiko matakatifu
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Mama hata akisimama na John heche, heche anachukua nchi mapema Sanaa, mm ninavyopenda ccm itoke madarakani naomba tu mama samia agombee,!!
Acha bwana we. Hehe huyo huyo aliyeshindo na yuleeeee huko kwao.
 
Wameleta stika ya kwenda kwa usalama bara barani sijui kama Mama ana taarifa na hii..
 
Naona Mbatia kaona kuwa uzi wake hauwezi kupata uungwaji mkono bila kuiingiza chadema kwenye agenda zake. Na pia aliona ni muhimu kuiweka ya kwanza ili bavicha wawahi kuichungulia, japo hivyo vyama vingine kaviweka kama geresha tu ili ionekane anahitaji umoja wa vyama vyote, lkn lengo halikuwa hao. Jamaa hana ujanja kabisa wa kujisimamia mwenyewe.
Amesema tuweke viburi vyetu pembeni kwa maana ya tofauti zetu, ila tatizo ni kwamba kila siku Chadema ndio yupo right na wengine ndio pekee huwa wanafki na ndio wenye shida.
 
Miaka yote tunapata kauli hizihizi
Huu ndio ukweli mchungu

Yaani hizi pesa za tozo msishangae zinatumika kuhonga wananchi na vibaraka wa upinzani 2025

Ila nawaambia uchaguzi Wa 2025 Ni uchaguzi mgumu Sana kuwai kutokea Tanzania

Mkicheza watu wanaingia barabarani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania.
 
Huu ndio ukweli mchungu

Yaani hizi pesa za tozo msishangae zinatumika kuhonga wananchi na vibaraka wa upinzani 2025

Ila nawaambia uchaguzi Wa 2025 Ni uchaguzi mgumu Sana kuwai kutokea Tanzania

Mkicheza watu wanaingia barabarani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania.
Hakuna mtz wa kuingia road
 
Ni mgumu Sana zipo sababu.
1.Siro atakuwa ashastaafu ajae atokubali kutumika kisiasa atataka kufanya Professionalism.
2.Mama auziki mtaani
3.Dhuluma ya machinga na ukosefu wa ajira kwa vijana nchini.
4.Uelewa umeongezeka nchini kwamba nchi sio chama
5.Wanachama wa ccm ambao ni wazee na vikongwe idadi yao imepungua
6.Watz wameona madhara ya ukosefu wa wabunge wa upinzani bungeni.
7.Hadi sasa ccm haina mtu makini na anayeuzika kwa watz kuweza kushindana
8.Ugumu wa maisha
9.Hakuna mtu wa kuwatisha na kuwalazimisha wakurugenzi waibebe ccm.
Sirro tutamuongezea muda, gaidi Kingai tutampa kazi maalumu ya kuteka wapinzani
 
Mda ushamtuma mkono.
Wape kingai Kada wao atawapa ushindi.
Kama jiwe alitumia police na akajipitisha kwa mbinde,wao waibe nasi Kazi yetu ni kumuomba Mungu
 
Huu ndo ukweli, huku mtaani watu tuna hasira, maisha magumu kweli
1: tozo nyingi kila sehemu
2: gharama za matibabu zimepanda sana
3: gharama za kutumia tu simu zimepanda maradufu, (bundle)
4: nauli zimepanda sana
5: ajali kila kukicha
6: Tozo ya luku ni hatari

Kiujumla Tanzania hatujafika hatua ya kuongozwa na mwanamke,kwanza tu maandiko matakatifu
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Mama hata akisimama na John heche, heche anachukua nchi mapema Sanaa, mm ninavyopenda ccm itoke madarakani naomba tu mama samia agombee,!!
Tume ipo huru????
 
Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna mtanzania wa kupanga mstari kupoteza muda, waacheni CCM na vyama vyao pandikizi wajichague wenyewe
 
Back
Top Bottom