“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Hahahahaha Waliamua kutafunana!!
Hawa UHURU walipigwa nyundo ya kichwa hawana hamu
Ni mgumu Sana zipo sababu.Huu ndio ukweli mchungu
Yaani hizi pesa za tozo msishangae zinatumika kuhonga wananchi na vibaraka wa upinzani 2025
Ila nawaambia uchaguzi Wa 2025 Ni uchaguzi mgumu Sana kuwai kutokea Tanzania
Mkicheza watu wanaingia barabarani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania.
Tatizo haaminiki tena. Jiwe alimwingiza Chaka hadi akapewa ulinzi kwenye mikutano huko Mbeya.“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
🤣🤣🤣Naona Mbatia kaona kuwa uzi wake hauwezi kupata uungwaji mkono bila kuiingiza chadema kwenye agenda zake. Na pia aliona ni muhimu kuiweka ya kwanza ili bavicha wawahi kuichungulia, japo hivyo vyama vingine kaviweka kama geresha tu ili ionekane anahitaji umoja wa vyama vyote, lkn lengo halikuwa hao. Jamaa hana ujanja kabisa wa kujisimamia mwenyewe.
Safari hii Mbatia hatatishia kutoa siri tena kama wakati ule alipoahidiwa chama chake kuwa chama kikuu cha upinzani?“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Umajua tatizo la mama kuna kundi la watu linamdanganya lakini ukweli ni kuwa watu wengi walitarajia mabadiliko makubwa sana huusani kwenye upande wa biashara na fedha mtaani lakini tokea aingie mambo mi Magumu zaidi!“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Mku yy kwa sasa anaamini ktk umoja na ktk huo hawezi kuitoa Chadema.Naona Mbatia kaona kuwa uzi wake hauwezi kupata uungwaji mkono bila kuiingiza chadema kwenye agenda zake. Na pia aliona ni muhimu kuiweka ya kwanza ili bavicha wawahi kuichungulia, japo hivyo vyama vingine kaviweka kama geresha tu ili ionekane anahitaji umoja wa vyama vyote, lkn lengo halikuwa hao. Jamaa hana ujanja kabisa wa kujisimamia mwenyewe.
huyu nae anyamaze.. kimburu kenge...Huu ndio ukweli mchungu
Yaani hizi pesa za tozo msishangae zinatumika kuhonga wananchi na vibaraka wa upinzani 2025
Ila nawaambia uchaguzi Wa 2025 Ni uchaguzi mgumu Sana kuwai kutokea Tanzania
Mkicheza watu wanaingia barabarani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania.
Atokubali...ni Hatokubali...Ni mgumu Sana zipo sababu.
1.Siro atakuwa ashastaafu ajae atokubali kutumika kisiasa atataka kufanya Professionalism.
2.Mama auziki mtaani
3.Dhuluma ya machinga na ukosefu wa ajira kwa vijana nchini.
4.Uelewa umeongezeka nchini kwamba nchi sio chama
5.Wanachama wa ccm ambao ni wazee na vikongwe idadi yao imepungua
6.Watz wameona madhara ya ukosefu wa wabunge wa upinzani bungeni.
7.Hadi sasa ccm haina mtu makini na anayeuzika kwa watz kuweza kushindana
8.Ugumu wa maisha
9.Hakuna mtu wa kuwatisha na kuwalazimisha wakurugenzi waibebe ccm.