James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

Binadamu makini yeyote huwa anajua weakness na strength zake na pia za wenzake/washindani wake. Alichosema ndiyo uhalisia bila vyama vya upinzani kuungana kudai kwa pamoja watakwama...
Ccm ndio mmekuwa washauri bora wa Chadema tangu lini?
 
Kabisa
 
Mbatia atapewa ubunge wa viti maalum na atakaa kimya
 
Ehheeee. Wasema kweli shekh. Jipange kumtoa hijab kwa kiti si rahisi
 
Acha bwana we. Hehe huyo huyo aliyeshindo na yuleeeee huko kwao.
 
Wameleta stika ya kwenda kwa usalama bara barani sijui kama Mama ana taarifa na hii..
 
Amesema tuweke viburi vyetu pembeni kwa maana ya tofauti zetu, ila tatizo ni kwamba kila siku Chadema ndio yupo right na wengine ndio pekee huwa wanafki na ndio wenye shida.
 
Miaka yote tunapata kauli hizihizi
 
Hakuna mtz wa kuingia road
 
Sirro tutamuongezea muda, gaidi Kingai tutampa kazi maalumu ya kuteka wapinzani
 
Sirro tutamuongezea muda, gaidi Kingai tutampa kazi maalumu ya kuteka wapinzani
Mda ushamtuma mkono.
Wape kingai Kada wao atawapa ushindi.
Kama jiwe alitumia police na akajipitisha kwa mbinde,wao waibe nasi Kazi yetu ni kumuomba Mungu
 
Tume ipo huru????
 
Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna mtanzania wa kupanga mstari kupoteza muda, waacheni CCM na vyama vyao pandikizi wajichague wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…