Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magu alitumia bastola na mtutu wa binduki,nchi yote ikageuka kuwa ya kijani kibichiMda ushamtuma mkono.
Wape kingai Kada wao atawapa ushindi.
Kama jiwe alitumia police na akajipitisha kwa mbinde,wao waibe nasi Kazi yetu ni kumuomba Mungu
Time aipigi kura.Subiria ifike 2025Tume ipo huru????
Yeye alitumia silaha na sisi tulitumia maombi.Magu alitumia bastola na mtutu wa binduki,nchi yote ikageuka kuwa ya kijani kibichi
Prayer without work ni uselessYeye alitumia silaha na sisi tulitumia maombi.
It workPrayer without work ni useless
Jidanganye....Mwenyezi Mungu hapendi majitu mavivuIt work
Siasa za kiafrika ni rahisi sana kuufanya uso uwe kama wa mzee wa miaka mia wakati mtu ni kijana wa miaka 25.“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Ukiona unashangiliwa sana na adui, rudi nyuma ujiulize umekosea wapi.Ccm ndio mmekuwa washauri bora wa Chadema tangu lini?
Na kamwe serikali/CCM haitakubali, haitaruhusu jambo hilo. Divide and rule ndio turufu yao.Binadamu makini yeyote huwa anajua weakness na strength zake na pia za wenzake/washindani wake. Alichosema ndiyo uhalisia bila vyama vya upinzani kuungana kudai kwa pamoja watakwama...
Hoja yako hipi sasaNaona Mbatia kaona kuwa uzi wake hauwezi kupata uungwaji mkono bila kuiingiza chadema kwenye agenda zake. Na pia aliona ni muhimu kuiweka ya kwanza ili bavicha wawahi kuichungulia, japo hivyo vyama vingine kaviweka kama geresha tu ili ionekane anahitaji umoja wa vyama vyote, lkn lengo halikuwa hao. Jamaa hana ujanja kabisa wa kujisimamia mwenyewe.
tupe hoja yakoNikweli lakini mbatia angejibu kwanza kabla ya uchaguzi aliitwa ikulu 2020 alivotoka aliaza kuzungumza kinyume na wezake ,leo nguvu hiyo anatoa wapi
Hapo ndipo unakuja ugumu wakushikamana
Baada yakutoka ikulu Alianza kuzunguka ngome za chadema kama mbeya mjinitupe hoja yako