#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

Chanzo ni jiwe, Aliwa brain wash watz mpaka sasa hawaamini tena chanjo.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Rwanda ni kaanchi kadogo na hakuna cha brain wash wala nini ila bado hajapata mafanikio ya chanjo bado corona inawasumbua, sasa sijajua hata huyo Jiwe asingewa brain wash wabongo na hizo chanjo zikaja ndio tungekuwa tumeshachanja watu wote?
 
Corona ipo na inaua
Sawa hilo sio tatizo ila issue ni reactions zetu kwa hiyo corona, kwa sababu maradhi yaliyopo na yenye kuuwa yapo mengi tu sasa hebu nipe sababu kwanini tuhamaki kwenye corona?
 
Kwani hata Jiwe asingeongea chochote kuhusu chanjo na hizo chanjo zikaja ndio tungechomwa wote? Rwanda chanjo zipo na ni nchi ndogo ila hajachoma watu wote ndio kwanza anafunga mashule kwa ajili ya corona.
 
Ukimwi tunavaa condom,Maralia tunatumia Vyandarua na Corona tuvae barakoa kisha tunawe mikono kwa maji tiririka mara kwa mara.
Nimekuuliza hivi kwanini tuwe na taharuki kwenye corona? kwa sababu pamoja na kuwepo vyandarua ila bado watu wanakufa na malaria kama kawaida ila hakuna taharuki.
 
Hayo Mambo yaliisha semwa sana,na mabwana wenu eti Wafrica tutakuwa tunaokotwa kama takataka barabarani, mwisho mpaka leo tunadunda tena pasipo tahadhali yoyote, Mungu wetu aliyetuumba atatusaidia tena
 
Nimekuuliza hivi kwanini tuwe na taharuki kwenye corona? kwa sababu pamoja na kuwepo vyandarua ila bado watu wanakufa na malaria kama kawaida ila hakuna taharuki.
Corona ni ugonjwa mpya taharuki lazima iwepo.
 
MB
Bwana drilling:

Bila takwimu tunajua je hatukupata madhara?

Kwani huyo unayemwita "makufuli" aliyemtegemea Mungu anasema je?
Mbona athali za ukimwi tunaziona kwenye familiar zetu,mfn me mwenyeji wa Kagera ukienda kijijini utaona makaburi na mayatima waliofiwa na wazazi wao,na atuoni serikali ikitoa takwimu kila siku na athali za ukimwi ni kubwa mno.Sasa hiyo corona mbona hatujaona watu wakidondoka kama ilivokuwa ikitabiriwa na WHO?huku mtaani ndio kabisa watu hawana habari na corona.
 
Kwani hata Jiwe asingeongea chochote kuhusu chanjo na hizo chanjo zikaja ndio tungechomwa wote? Rwanda chanjo zipo na ni nchi ndogo ila hajachoma watu wote ndio kwanza anafunga mashule kwa ajili ya corona.
sisi siyo tawi la Rwanda tuna akili na vipaumbele vyetu.tuanzie wapi tuishie wapi...

Haiwezekani tupate chanjo hapa tukachanje hovyo hovyo km wenda wazimu kijiji cha Maruku huko krb na uganda.
Tuna vipaumbele vyetu sisi km wabongo tuanzie wapi tuishie wapi!! Umri gani wapate kwanza.idara gani nyeti weee vepe babu??km hujui uliza..
 

Nenda Chatto, Nyali Mtambwe (Pemba). Hii zaidi ya ngoma. Huko kumezikwa hadi marais wote hao ndani ya mwezi 1.
 
Sikushangai, ni kawaida alie lala usingizi wa pono akiamshwa lazima atakasirika hata kama amelala saa 6 mchana.
Kwa uzembe mbaousemea ambao uongoz ulopita ulifanya nilitarajia population tz watu million 5 tu😂😂. Lakin ndo kwanzaaa nasikiaga tetesi ndugu yake narafiki yake na jiran yake na ndugu yangu alikufa kwa corona😂😂
 
Chanjo ya korona inakuja na ushawishi wa rushwa na mikopo jiulize kwanini iwe hivyo na bado hata walio chanjwa bado wanaugua,Magufuli approach was good,mbatia ni kuwadi hana lolote.
 
Umeandika maneno mengi yaliyo pumba tupu

unatumia nguvu kubwa ya nini kutuaminisha corona ipo.

Hiyo corona ipo wapi mbona huku mtaani hatuoni uhalisia mnao tutisha nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…