Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Rais wa WaSafi, Rais wa TFF, Rais wa TLS..Kwani Tanzania tuna rais? Naam! Tunaye, nimekumbuka tuna rais wa bao, ngumi, na nini tena?
Mimi nimeajili watu, CHADEMA Unachukulia poa sana kama ndoa yako ya mitala bibie πππNa wewe subiri Mbowe aje kukuteua πππ€£ππ
Nami nimeajiri watu pia...na teuzi juu.....Mimi nimeajili watu, CHADEMA Unachukulia polia poa sana kama ndoa yako ya mitala bibie πππ
Mimi nimeajili watu zaidi ya 30Kweli π
Msubiri Mbowe akuteue "ndotoni"....
Mimi nina 7 tu ila........π€£π€£π€£π€£Mimi nimeajili watu zaidi ya 30
Haaa haa just haa haa urithi wa ndoa ya mitala sioπ Bibie utatumiwa mpaka amrikiyama πππNami nimeajiri watu pia...na teuzi juu.....
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPOπππ€£π€£
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.....π€£π€£Haaa just haa urithi wa ndoa ya mitala sioπ
Tayari ushatepeta mtoto wa teuzi..ππ ngoja ni kwambie kitu, mimi nakumbusha tu watawala waheshimu haki na utu wetu watanzania. Sihitaji teuzi na sina njaa. Napigania haki na usawa kwa wote pamoja na wewe mramba mikojo ya watawala.Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.....π€£π€£
Nawe unataka kuolewa ?!!!
Watu werevu hupendelea wanawake walio vizuri upstairs. Huyu anaongea vitu soft sana! Yeye anadhani Dunia ya Leo watu wanaoa vifua vilivyotuna badala ya mtu aliyetuna Ubongo! Kusimama Kwa Matiti Ni Sifa ya mpito tu kwa mwanamke.ππππππ kifua chake kimejaa matiti na akishajisiliba wanja ana sura ya kuvutia si kama wale wachezaji wa soka wenye sura mbaya na vifua flat vifua. Njemba akajigonga wa KUDEMKA akakubali kuwa mke wa nne. πππ
Good speech, kaitoa Moyoni hiyo, dawa ni kwenda Mahakamani.Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Wewe mchezaji ,wewe refa kufikia kusema NIMESHATEPETA π€£Tayari ushatepeta mtoto wa teuzi..ππ ngoja ni kwambie kitu, mimi nakumbusha tu watawala waheshimu haki na utu wetu watanzania. Sihitaji teuzi na sina njaa. Napigania haki na usawa kwa wote pamoja na wewe mramba mikojo ya wwataUyuuy
Tayari ushatepeta mtoto wa teuzi..ππ
Umeshapanic πππWewe mchezaji ,wewe refa kufikia kusema NIMESHATEPETA π€£
Wewe mwenyewe unaramba mik..o ya Mbowe na genge lake.....acha kujiboost....huna lolote....umejaa njaa tu kama wengine......π€£
... mtu kawaambia yeye na magufuli ni kitu kimoja ila wanaendelea kujidai kama samia ni tofauti. Sijui wamesahau kama serikali ni ileile ya ccm? Mama kama aliahidi mambo tofauti na msimamo wa ccm hilo ni shauri lake. Ccm ina yake kuhusu nchi hii wala sio ya mtu.Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
That is not a pointMama hana uwezo wa kuongoza nchi, hilo liko wazi.
Ukitaka kujua hana uwezo, aongee kutoka kichwani mwake bila kusoma speech ndio utajua pale watanzania tumeingia cha kike.
Haya umeshafika "orgasm" baada ya kutoa maneno ya dhihaka na matusi....
Ni kama anaburuzwa maana anayosema hadharani sio anayofanya. Anasema polisi tendeni haki kesho polisi wanaborongaNimesema wapi kuwa anashauriwa vibaya? Kwa hiyo unaona yanayofanyika ni ya mtu mwenye akili nzuri, ama Kiswahili hiki wewe unakielewaje? Narudia tena - huyu mama hana akili ya kutosha kuongoza nchi.