James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

hakuna tusi hapo wewe!! Acha KUDEMKA!!!

Alikuwa anataka kumaanisha nini kati ya mifuko ya michezo na matiti na kuolewa. Mimi sijaelewa hapo ni harakati fulani za kidini ama wapigani haki ama ilikuwa nini?
 
Reactions: BAK
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?


Mkuu JPM ankutesa sana. Na unatafuta kila namna utamtaje hata marehemu. Samia Ni kiongozi na atafanikiwa sana kwa namna yake. Madaraka yake sio nusu nusu. Ni Rais. Huyo mwendazake alikuwa naye, yeye akiwa makamu na hao wengine. So Acha ujinga wa kumfanya kama alishakuwa ghafla toka mbinguni.

Shida yenu mnataka nchi isitawalike. Habari ya Mjini Ni mavituo ya afya. Maneno maneno andikeni kwenye kanga na Vitenge.
 
Mimi pia Mkuu sikuona sababu ya kuzungumzia matiti, sura mbaya na ndoa.
Alikuwa anataka kumaanisha nini kati ya mifuko ya michezo na matiti na kuolewa. Mimi sijaelewa hapo ni harakati fulani za kidini ama wapigani haki ama ilikuwa nini?
 
Mkuu karibu kujiongeza kidogo. Huyu sio muda wa mizaha tena. Polisi wameuawa na Hamza kauawa. Hawa wote ni Watz wenzetu waliokuwa na michango kwenye familia zao na kwetu pia kama Watz.

Sasa kejeli zako hazina maana hata kama wewe ni sehemu ya wanufaika wa matendo haya maovu au pia wewe ni sehemu ya Polisi. Hatujui ni Nani atafuata Kati yangu Mimi na wewe au na Yule/wale baada ya wale waliokwishatangulia.

Polisi wafanye kazi zao Kwa mujibu wa sheria. Mahakama itekeleze majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Vivyo hivyo na Wanasiasa watekeleze majukumu yao Kwa mujibu wa sheria.

Haya yote yanayotokea hivi sasa yanassababishwa na CCM Kwa kuyaingilia mihimili mingine na kuyapangia namna ya kutekeleza majukumu yao. Kuna siku vyombo vya dola vitagomea CCM ktk maagizo yao. Ama wale wote watakaokuwa wamechoshwa watatatenda kama alivyotenda Yule Kada Mtiifu wa CCM yaani Mwamba Hamza.
 
Samia ni fungu la kukosa , anaweza mitala tu . Nchi inahitaji uponyaji hii.
Samia amemwachia Nchi Mwigulu Mpango na Majaliwa.
Huyu bibi huyu ni bure kabisa.
Hao wote ndio wanaommaliza.
 
Huyo Zandrono ni ID za kulipwa ni watu wakuropoka ropoka tu mradi analipwa.
 

Uswahilini wanasema hapa tumepigwa
 
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?

Anahujumiwa na nani?Anaogopa kusema "Zamiya" hatumii akili zake atapewa kesi ya uhujumu,ugaidi au uhaini?😝😝😝😝😝
 
Reactions: BAK
Poponarism....Kitengo kimetema cheche
 
Reactions: BAK
Hapana, siyo kweli.

Wale akina mama wenye "vifua 'flat'" au waliokaa kiume ume kama akina Margreth Thatcher wanaweza sana.
Lakini mbona kama yule wa uJerumani humsikii, lakini anaweza sana?
Au ni hawa wa kwetu, wapaka wanja ndio hawawezi?

Huyu tokea mwanzo alionekana hawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…