James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

Serikali imekusanya 2.9 kwa mwezi disemba meaning fedha zipo.

Kuna ulazima gani wa kuchukua 1.3 ili kujenga vyoo??
 

..I agree with u. hata mimi natatizwa na uamuzi wa serikali.

..hata mwananchi wa kawaida hachukui mkopo kujenga choo.

..tunachukua mikopo kufanyia shughuli zitakazotuongezea kipato na kutuhakikishia ziada ya kurudisha mikopo.
 
Mkopo wa covid!! Hatujui kunawa?
Vitakasa mikono ni bei gani?
Barakoa bei gani?
Tuache umamuma!
 
Pesa za tozo si mnalipwa nyie vijana wa buku saba. Au
 
Lakini tuwe wakweli Wajameni, kwa nini kila heri ya Mradi ilitolewa anapewa shukurani Rais????. Hizo hela ni zake!!
 
Setikali imekusanya trilioni 2.9 kwa mwezi disemba na bado ikakopa 1.3 kujenga vyoo.

Kama 2.9 ilikuwepo kwanini tukope 1.3 kujenga vyoo??
Trilion2.9 imepatikana mwezi desemba je wakati hiyo pesa ya uviko imepatikana mwezi disemba ulikuwa umefika?

Lakini tukiachana na hilo kwani changamoto zetu Kama Nchi zimekwisha si bado zipo nyingi hiyo hela iliokusanywa itatumika katika kutatua matatizo mengine
 
Kwahiyo ingekosa hiyo covid vyoo visinge jengwa?.

R.I.P Jembe.
 
Unashindwa kujenga vyoo kwa fedha za ndani. Vyoooo
Sio vyoo tu na madarasa hili ni tatizo la muda mrefu Rais ameamua kulipatia ufumbuzi kwani wewe ujui toka enzi za Mzee Mwinyi tunaupungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, madawati,matundu ya vyoo na nyumba za walimu?
 
Tumeruhusu wajinga wengi kujaa kwenye siasa ambapo ndio kwenye ngazi za maamuzi..vijana graduates ingieni kwenye siasa kwa wingi muwezavyo mkaokoe hili jahazi.

Mapunguani yanatuhalibia nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…