James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

Aisee yani na wewe unakubali kujazwa namna hii na unakubali??
Inakuaje tena ni mkopo wa uviko kama inatumika kujenga chooo?

Surely mnaona ni sawa kukopa pesa kwa ajili ya kujenga vyoo???

Nachelea kutumia neno alilotumia Mbatia 🀣
 
Mapunguani kama Ndugayi na Mbatia yana ajenda zao,sijui yalikuwa wapi kusema toka mwanzo.

Unaweza Dhani pesa imeliwa kumbe imesaidia watoto wa maskini lakini wa kwao hawasomi shule za serikali ndio maana wanataka wasijengewe madarasa.

Ni hayo hayo mapunguani yaliponga tozo yaani kiufupi hayana jema.

Mwisho serikali ilieleza vizuri badala ya kusubiria miamala kila baada miezi upate pesa ndio ikajenge wakaona watumie pesa za covid kwa haraka.

Sasa sijui maelfu ya watoto waliofaulu wangeendelea kusubiria tozo hadi mwezi wa 6 ndio waanze shule au hapana.

Ni mapunguani kama haya kina Mbatia na Ndugayi ndio hayasemi kwamba mkopo umenunua mashine za maji mikoa yote,umenunua ambulance na Vifaa tiba nchi nzima nk nk.
 
Ni mapunguani kama Hawa Hawa kina Mbatia na Ndugaye ndio wanaweza hoji jambo ambalo toka awali lilielezwa vizuri na Serikali,Hawa Wana lao jambo na nashauri washughulikiwe.

Mh.Rais isisikilize hao mapunguani Songa mbele.
 
Mbatia ali ingizwa king na mwenda kuzimu kwamba chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani akapandisha mabega. Kumbe aliingizwa choo cha kike, alicho kutana nacho kwenye uchaguzi ana jua yeye na alie mkuta huko chooni. Magu kitu ingine
sasa hapo hoja yako ni ipi ukilinganisha na uzi uliopo au na wewe ni punguani?
 
Mbatia yupo sahihi Sana, mapunguani mengi mno, na huu upunguani wa michongo utaligharimu taifa vibaya mno.
 

Serikali haikuamua chochote kwenye matumizi ya huo Mkopo, ilikuwa ni lazima utumike hivyo, hiyo ni moja kati ya masharti ya mkopo, isitoshe ni mtu mjinga tu low IQ anayechukuwa mkopo kama nchi kununua ambulance au kujenga Zahanati.
 
Nina wasiwasi ikiwa kama hata ulisoma darasa la 2B!
 
😁😁😁 Daa hii nchi hii,
... Viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye kuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
 
Tatizo siyo kujenga Choo tatzo ni serikali ina kopa pesa dunian kwa ajiri ya kujenga vyoo nia fedhea kwa nchi yenye rasilimali nyingi sanaaa bora angesema pesa za mkopo tuna malizia reli na bwawa la umeme jamii itaelewa ata wajukuu zetu wakiambiwa Wana lipa madeni ya treni na bwawa la kudharisha umeme watalipa hawata hoji Sanaa kuliko wakija kusikia tulikopa pesa kwa ajiri ya kujenga vyoo, wakati tuna gesi madini halafu unaenda kukopa pesa za vyoo ndo Yale ya awamu ya 4 kwenda kuomba msaada wa neti
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa hivi tunazungumza lugha moja
 
Upunguani umezidi taifa hili hasa ccm! Angalia mwenezi wa njombe na mtu anayejiita DR.DIALLO
 
Mbatia siku hizi kama kachanganyikiwa tu, sijui ni uzee,, kutwa kudandia viishu visivyo na kichwa wala mguu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hii ni hoja nzito sana ukumbuke mwanzilishi wake ni mkuu wa muhimili kwenye serikali
Unaanzaje kusema ni Ishu ndo au unafunika kombe mwanaharamu apite?
 
Aisee yani na wewe unakubali kujazwa namna hii na unakubali??
Inakuaje tena ni mkopo wa uviko kama inatumika kujenga chooo?

Surely mnaona ni sawa kukopa pesa kwa ajili ya kujenga vyoo???

Nachelea kutumia neno alilotumia Mbatia 🀣

Hahahahaa tumia tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…