komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Aulizwe James MboweTabia za wachaga zimeandikwa kwenye Kitabu gani nikasome?
Anhaa, au tabia za wizi na udokozi, maana..... wamachame kwa kukwapua ni noma.......
Shimboni shafooo!!! πππ
Hawakwenda shule wameishi kwa fedha ya urithi ndio maana walisahau kwenda shuleKumbe sio mbowe tu Hadi uzao wake ni kichwa maji hivi?
Nyinyi Kuweni Wafanyabiashara wakubwa tu ila Nchi yetu hii, Waamuzi wa Mwisho ni Sisi Wapwani almost katika Tawala zote tangu tupate uhuruHapa tunazungumzia SIASA ambayo hakuna hata mchaga alifika cheo hata cha Waziri mkuu, acha kuchanganya biashara na siasa kwa ujumla wake, kufanikiwa biashara sio kigezo cha kufanikiwa siasa, acha HOJA dhaifu, kwasasa Lissu ndio mtu pekee anaeweza kurudisha makali ya Chadema ambayo ni butu kwasasa
NdiooooUkiona Mchaga yupo kijiwe cha kahawa anapiga umbeya & majungu basi elewa huna mchaga hapo umepigwa.
Hivi vimilioni 70 ni hela? Nadhani hiyo hela hata mjukuu wa mwisho wa Freeman Mbowe anayo kwa ajili ya kununulia pipi na pampasUkirudi nyuma hawa hawa wana CCM wanaomtetea mbowe biila shaka walikuwa busy humu wanamsagia sumu. Huyo James Mbowe kwanza amalizane na wanaomdai maana amekuwa muongo kuwa atawalipa toka mwaka jana lakini hajatimiza hilo.
Kwa akili zake ndogo anamaanisha Lema alifaa kukaa kimya kwakuwa baba yake ni mchaga mwenzake amlindie madudu.Angekaa kimya, kitendo cha kumzungumzia ukabila na wakati huohuo Kuna mgogoro unaomhusu baba yake ni kuzidi kumkandamiza baba yake badala ya kumsaidia.
Si alipe sasa kama si hela alipe si kila saa analialiaHivi vimilioni 70 ni hela? Nadhani hiyo hela hata mjukuu wa mwisho wa Freeman Mbowe anayo kwa ajili ya kununulia pipi na pampas
Lazima zichujwe kupitia court process, huwezi ziokota kama sandakalawe.Si alipe sasa kama si hela alipe si kila saa analialia
Wewe unayejiona mwenye akili kubwa ndio umejiona umejibu hoja yangu.Kwa akili zake ndogo anamaanisha Lema alifaa kukaa kimya kwakuwa baba yake ni mchaga mwenzake amlindie madudu.
Kwa maelezo ya Lema kwanza kajitahidi kukaa kimya muda mrefu na amejaribu sana kupata maelezo kutoka kwa Mbowe mwenyewe,
Court ilishasema alipe, akaomba wamalizane nje ya court na fedha ikapunguzwa kwa kumtaka alipe nusu ya fedha zilizokuwa zinadaiwa hapo awali. Toka mwaka jana mwanzoni tu danadana ameshindwa kulipa hiyo fedha unayosema inaitwa ya pipi.Lazima zichujwe kupitia court process, huwezi ziokota kama sandakalawe.
Hao waandishi wa Tanzania daima asilimia kubwa walikuwa makanjanja, ndio maana akayafukuza kazi