James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

Yule ni mpare wa gonja kama mimi - uchaga aupate wapi.
 
Naunga mkono hoja ya James Mbowe kuhusu Godbless Lemma. Ni sahihi kabisa kada ya watu wa kabila la wachaga sio watu waliojaa ion go, unafiki, ushankupe.

Hii imewafanya wawe wafanyabiashara wakubwa na wasomi wakubwa. Kitendo cha mtu wa kabila hilo kuwa muongo, shambenga kinastaajabisha.

Naunga mkono hoja ya James Mbowe
 
Hapa tunazungumzia SIASA ambayo hakuna hata mchaga alifika cheo hata cha Waziri mkuu, acha kuchanganya biashara na siasa kwa ujumla wake, kufanikiwa biashara sio kigezo cha kufanikiwa siasa, acha HOJA dhaifu, kwasasa Lissu ndio mtu pekee anaeweza kurudisha makali ya Chadema ambayo ni butu kwasasa
 
Nyinyi Kuweni Wafanyabiashara wakubwa tu ila Nchi yetu hii, Waamuzi wa Mwisho ni Sisi Wapwani almost katika Tawala zote tangu tupate uhuru
 
Ukiona Mchaga yupo kijiwe cha kahawa anapiga umbeya & majungu basi elewa huna mchaga hapo umepigwa.
 
Ukirudi nyuma hawa hawa wana CCM wanaomtetea mbowe biila shaka walikuwa busy humu wanamsagia sumu. Huyo James Mbowe kwanza amalizane na wanaomdai maana amekuwa muongo kuwa atawalipa toka mwaka jana lakini hajatimiza hilo.
 
Hivi vimilioni 70 ni hela? Nadhani hiyo hela hata mjukuu wa mwisho wa Freeman Mbowe anayo kwa ajili ya kununulia pipi na pampas
 
Angekaa kimya, kitendo cha kumzungumzia ukabila na wakati huohuo Kuna mgogoro unaomhusu baba yake ni kuzidi kumkandamiza baba yake badala ya kumsaidia.
Kwa akili zake ndogo anamaanisha Lema alifaa kukaa kimya kwakuwa baba yake ni mchaga mwenzake amlindie madudu.
Kwa maelezo ya Lema kwanza kajitahidi kukaa kimya muda mrefu na amejaribu sana kupata maelezo kutoka kwa Mbowe mwenyewe,
 
Actually James anashangaa mchaga kumuunga mkono Chasaka.

Haijalishi anaweza au lah kama ni mchaga mwenzio huyo anafaa!
 
Si alipe sasa kama si hela alipe si kila saa analialia
Lazima zichujwe kupitia court process, huwezi ziokota kama sandakalawe.

Hao waandishi wa Tanzania daima asilimia kubwa walikuwa makanjanja, ndio maana akayafukuza kazi
 
Kwa akili zake ndogo anamaanisha Lema alifaa kukaa kimya kwakuwa baba yake ni mchaga mwenzake amlindie madudu.
Kwa maelezo ya Lema kwanza kajitahidi kukaa kimya muda mrefu na amejaribu sana kupata maelezo kutoka kwa Mbowe mwenyewe,
Wewe unayejiona mwenye akili kubwa ndio umejiona umejibu hoja yangu.
 
Lazima zichujwe kupitia court process, huwezi ziokota kama sandakalawe.

Hao waandishi wa Tanzania daima asilimia kubwa walikuwa makanjanja, ndio maana akayafukuza kazi
Court ilishasema alipe, akaomba wamalizane nje ya court na fedha ikapunguzwa kwa kumtaka alipe nusu ya fedha zilizokuwa zinadaiwa hapo awali. Toka mwaka jana mwanzoni tu danadana ameshindwa kulipa hiyo fedha unayosema inaitwa ya pipi.
Aache utapeli.
 
Back
Top Bottom