Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Unafiki!Haki imeshinda. Mara baada ya kuachiliwa huru, ameenda kanisani kusali na kumshukuru Mungu. Alimwachia kila kitu Mungu, akabaki na rozari yake shingoni and he would say it daily. Hata sasa Mungu amemsaidia.
Mungu ndo anaruhusu. Hata kama kilikuwa kifo cha fitina.Acheni FITINA si kila kifo Mungu anahusika, sikuwa upande wa late Pombe ila hizi mambo mnazoendeleza siyo sahihi.
Kamwibia nani - labda tuanzie hapo? Sina shaka na wewe ni mmoja wa watanzania wachache ambao wanakuwa driven na wivu na roho za kutu na za kwa nini?Yaani wewe akili yako imejaa kamasi huyo ni group la kikwete ni mwizi, fidia ya nini!? Kauze mashamba ya babu yako uje umlipe!
Here we go again - manufacturing Mickey Mouse stories, hivi katika awamu ya utawala wa Mh.Kikwete kapiga picha na wafanya biashara wangapi, Why pick on Rugemalira???
Ndugu hizo ☝🏾ni propaganda za kisiasa juu ya kuficha kombe ili mwanaharamu apite.Kamwibia nani - labda tuanzie hapo? Sina shaka na wewe ni mmoja wa watanzania wachache ambao wanakuwa driven na wivu na roho za kutu na za kwa nini?
Hivi mara hii umesahau jinsi Rugemalira alivyo nusuru Taifa letu lisitetereke kiuchumi alipo agiza na kuingiza nchini mitambo mikubwa ya kuzalisha umeme wa kuendesha machine za viwanda vyetu thereby saving our economy from total collapse at the eleventh hour!! Hilo hamlisemi kazi yenu kumkandia Rugemalira 24X7 kwamba ni mwizi/tapeli na fisadi - mnampakazia tu wala hamjui undani wa project nzima - kwamba mitambo ya kuzalisha umeme iliingizwa nchini na Rugemalira akishirikiana na business partner wake kutoka Malaysia baada ya Serikali kukosa fedha za kutosha kuagiza mitambo mikubwa ya kuzalisha umeme wa dhalula baada ya kina cha maji ya Kidatu na Mtera kupungua kwa kiwango cha kutisha - wangapi wanakumbuka crisis hiyo ya Kitaifa - badala yake baadhi yenu mko overly obsessed kumu - crucify Rugemalira by manufacturing made up stories - hawakutaka hata kusikiliza maelezo yake kwanza, badala yake walitaka kumu-black mail eti "rudisha fedha zako zote kwanza" maelewano baadae - binafsi sijawahi kusikia kitu kama hicho popote Duniani!!!
Kijana usicheze na usiyemjua..!Ashakazwa huku we tulia nawewe utakanyagwa vizuri tu soon bwege wewe.
Mungu hatoki Kijijin kwenu.Unafiki!
alikudhurumu nini mkuu??Huyu jamaa anastahili kuwa tajili, ana roho ngumu na kauzu kisawasawa.
Yule marehemu dhulumati kamchimba mikwara yote mzee kakaza bora afie jela kuliko kutishwa na mwehu.
tembo zikipigana ziumiazo ni nyasi.Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.
Na wanarudi kuanzia pale walipoishia, January Makamba ndio in charge, nchi tamu sana hii.
Mikataba mibovuHere we go again - manufacturing Mickey Mouse stories, hivi katika awamu ya utawala wa Mh.Kikwete kapiga picha na wafanya biashara wangapi, Why pick on Rugemalira???
Dua.
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani miaka 4 iliyopita
Kama kesi imefutwa walipwe kwa gharama zote walizotumia, familia zao kupata shida na kwa kufugwa bila kuwa na kesi
Mkuu watalipa duniani hapahapa km sio wao familia zao...time will tell..Kuna mtu yupo nyuma ya hii gem plan....
labda kama ww ni kipofu !!?
wenye macho tunaona.....
hv mnafahamu maana ya gari kupelekwa service
unafanya overhaul
DPP wa Tanzania hana uhuru wa kutenda.Huyu DPP mpya huyu sina imani naye kabisaaaa
Pesa yote aligawa hakubaki na iliyotosha kulipa fidia na wale waliogawiwa ndio wameshinikiza DPP aondoe mashtakaJambo la kheri, yeye aligoma kabisa kukiri kosa na kulipa fidia?
Ila ccm wote mafisadi tu sema viwango vinatofautiana… Hata Mayanga construction alikua anapiga vile vile.!Dawa ni kuondoa mfumo mzima wa unyonyaji kupitia katiba mpyaHalafu kuna watanzania wanashangilia...
Nakuhakikishia mpaka leo akina Lissu, Mbowe na Zitto wangetaka kesi ya Tegeta Escrow iendeshwe hadi mwisho. Mafisadi wote wajulikane, jinsi walivyoshiriki na mgao waliopata. Manake ufisadi wa akili kubwa sana ulifanyika.Kwaiyo akina Lissu na Mbowe,Zitto walivyokuwa wanatema mate bungeni, Mpaka kuweka maazimio walikuwa walikuwa wameongwa kumchafua Lugemarila na serikali ya Kikwete? Mambo haya yalianzishwa na akina Lissu,tena na ushaidi wa nyaraka,tena nakumbuka Lissu alivyopewa nafasi bungeni,alitoa hata history ya IPTL ilivyoanzishwa.wakulaumiwa ni akina Lissu na wabunge waliotoa maazimio kwa serikali Magufuri anangushiwa jumba bovu tu,yeye alitimiza maazimio ya akina Lissu
Mbona atukuona wakishinikiza serikali ya Magufuri kwamba washitakiwe?wakapeleka na ushaidi wa nyaraka kama walivyokuwa wakidai,baada yake wakaanza kumshambulia Magufuri kuwa anawaonea matajiri gele,akina Lissu Mpaka akaanza vitisho kwa serikali kuwa itashitakiwa na kulipishwa hela nyingi.Nakuhakikishia mpaka leo akina Lissu, Mbowe na Zitto wangetaka kesi ya Tegeta Escrow iendeshwe hadi mwisho. Mafisadi wote wajulikane, jinsi walivyoshiriki na mgao waliopata. Manake ufisadi wa akili kubwa sana ulifanyika.
LAKINI, amin nakuambia, serikali ya CCM haikuwa tayari, haiko tayari na haiwezi kuthubutu kabisa kuona kesi hiyo ikiendeshwa. Tena enzi zile sauti nzito ilisikika toka juu ikidai “hizo ni pesa halali za wafanyabiashara”.
Magufuli alijua hawezi kuendesha kesi hiyo. Lakini kwa jeuri tu ya kutaka kuwakomoa kina Rugemalira na kupata ujiko kisiasa (na pengine kutaka kuwatoa mshiko kirahisi rahisi) kawaweka ndani miaka minne bila sababu za kisheria. Hata pale Rugemalira alipoomba idhini ya mahakama ataje wote waliochukua hela ya Escrow alikataliwa.
Akina Lissu, bila shaka, sasa hivi hawatapenda kuonyesha roho mbaya baada ya Rugemalira kuachiwa baada ya tabu kubwa aliyopitia. Hivyo watapuuza tu.