James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Mitambo iliyoletwa ilipigwa vilevile wamalaysia wakaondoka na matako yao tu baada ya kuiweka tu walifukuzwa.
 
Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.

Na wanarudi kuanzia pale walipoishia, January Makamba ndio in charge, nchi tamu sana hii.
Kwahiyo wewe unashabikia genge la mafisadi tuendelee kupigwa. Tunachoshukuru ni kwamba JPM alishayanyoosha na kwasasa wamejichokea hakuna wa kupiga labda waibuke mafisadi wapya. Miradi mikubwa yote yenye pesa nyingi imeshaanza kutekelezwa na mikataba ilishaingiwa hakuna pa kupiga.

Wasubiri miradi mipya 2030 kama wakiwa hai.
 
Mafisadi wanasamehewa kwa sababu za ubinadamu mnaanza kuleta nyokonyoko.
Hakuna aliyesamehewa kwa sababu za ubinadamu otherwise lingewekwa wazi, wameshindwa wenyewe(ofisi ya DPP) either kwa kuogopa watakaounganishwa(vigogo wa serikali) kama kesi ikiendeshwa inayostahili au kwa kuona hawapaswi tena kufuata mfumo wa kubambikia watu kesi, ule mfumo wa Jiwe ambaye alikuwa anasweka watu then anawapa pressure wakiri ili awatoe mpunga halafu awaachie.
 
Ni kweli kabisa. Kikubwa ni kunywa maji na kulala. Hapo Rugemalila anaendelea kula bata kitaa na maisha yanaendelea. Mwendazake alishajilalia mauti
Ale bata wapi mzee amekongoroka amebaki mifupa tu,nadhani awezi chezea serikali tena, sasahivi awezi rudia dili zake za kuibia serikali tena,amekomeshwa
 
Yaani yeyote aliyehusika ameonewa huruma.
 
Kupata 50%???,hata 300% aweza pata,hii nchi kila kitu kinawezekana bhana
 
Hahaaa!!!!bwashee tisha sana
 
Asante kwa ufafanuzi ila una ushahidi juu ya hili uliloandika?
Pesa yote aligawa hakubaki na iliyotosha kulipa fidia na wale waliogawiwa ndio wameshinikiza DPP aondoe mashtaka
 
Eti jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi kama haina nia waliwakamatia nini sasa.
Kwann singa ye alipe pesa Ili kununua uhuru wake na ruge ye kaachiwa bure
 
Yaani Rugemalira anaweza kuagiza mitambo na nchi yenye walipakodi zaidi ya 40 milioni wanashindwa kuagiza mitambo.

Kama hapo unaamini ndipo tulipofikia, kweli kudai uhuru ilikuwa makosa makubwa sana. Na kama inawezekana ni heri tuwaite waingereza waendelee kuitawala nchi hii. Kwa maana hiyo nitaungana mkono na wote wanaosema Afrika hatuwezi kujitawala.. Full stop!
 
Na ndiyo maana sisi tuliobahatika kuwepo kweye awamu zote hatutaacha kupaza sauti kuwa adui adui mkuu wa taifa hili ni CCM na kwamba bila kuiondoa CCM madarakani maendeleo tunayoyalilia yatabaki kuwa ndoto tu. CCM imezeeka, imechoka na haina uwezo wala sifa ya kuendelea kuliongoza hili taifa lililojaaliwa na kila aina ya rasilimali na mali asili.

CCM inatumia ujinga na woga wetu kama mtaji wa kubaki madarakani kwa hila na matumizi ya nguvu na ulaghai na kila anayesukumiziwa madaraka ni wa hovyo kuliko aliyemtangulia. Fikiria mtu aliyekuwa kiongozi na waziri kwa miaka zaidi ya ishirini kudai hajui tulifikaje hapa tulipo na sisi kama mataahira tunamsukumizia uongozi kwa fijo na vigelegele.

Mtaji wa CCM ni ujinga wetu na woga wetu.
 

Mkuu kwa kweli na mimi nimeanza kuwaza the same..naipenda sana CCM lakini naona kuna haja ya kukipumzisha ili tupishe nguvu na mitazamo mipya..CCM imeshakuwa business as usual washajimilikisha hii nchi nakuifanya km kiosk chao, wanafanya wanavyotaka wao....tatizo hatuna chama cha upinzani chenye candidate imara mwenye uzalendo na upendo kwa watu mwenye hulka ya kidikteta hv na powerful km Nyerere na JPM...hawa jamaaa wawili mimi binafsi nawakubali personality zao na maneno yao yalikuwa yanawapa matumaini watanzania WENGI sio wachache wachumia tumbo....tulijiona tuko salama tuna watetezi kwa maadui wa ndani na nje...walipambana kufuta ujinga,maradhi na njaa kwa nguvu zao zote...mbegu walioipanda haitakufa kamwe...naamini Nyerere aliamini kuna siku mtu km JPM atakuja kuamsha amsha na imekuwa...sasa tunasubiri nguvu ingine naamini hii mwenyezi Mungu akitutunuku tutasogea parefu zaidi...

Hatuna ujinga mkuu wala uoga watanzania tupo imara sema viongozi hawajajipanga vizuri....wakisambaratishe chama hicho uone cinema nzuri mkuu....wananchi watachagua kilicho bora bila uoga...like taking a candy from a baby...hakuna rocket science hapo...inasemekana upinzani wa kweli utatoka CCM sijui watapasuka lini...time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…