James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Huyo mzee kichwa, anajua kucheza na sheria.
Spon ata issue serikali imlipe fidia kwa kumpotezea muda.
Safi sana.
Moja ya vichwa ambavyo Tanzania imebarikiwa kuwa navyo. Tatizo ni serikali kutotumia vichwa hivyo kwa manufaa ya taifa.
 
Mafisadi wanazidi kujikusanya na kufufua team yao chini ya mama samia the killer one
We jamaa bhana,kama aliiba kweli toka 2017 mpaka march 2021 kabla ya magufuli kufariki alishakaa ndani karibia miaka 4 mbona akukutwa na kosa?huyu katoka kisheria unamtwisha zigo rais SSH,je kuna wale waliokua waloikiri kipindi cha magu then wakalipa hela waachie utasemaje!
 
Wana CHADEMA wanachopinga ni Rugemalira kufungwa hku upande wa serikali hakuna mshtakiwa hta mmoja. Tulitegemea tuone kina Muhongo, Werema, Ndulu n.k na wao wanabananishwa sio tu private sector. Walioiba pesa stanbic mbona hawakukamatwa? Vp waliokula mgao??

Same na kesi ya kina Sioi unaona wazi kuna uonevu na wao wataachiwa soon if at all bado wapo ndani.

Bottom line serikali ya JPM ilikua biased kwenye mapambano ya ufisadi. Ilikamata wafanyabiashara tu ikaacha wanasiasa. Hivi Nchambi au Lugola kesi zao za ujangili na Rushwa ziliishia wapi??

Muache uonevu
 
Good
 
Ile ni biashara kama zingine haina tofauti na mchimba madini ya vito akafanikiwa kupata mawe ya matrilioni akaamua 'kula' na watu wake wa karibu pia kusaidia jamii kwa kujenga madarasa, hospitali, kufadhili Simba, Yanga n.k.
Fikiri sana mzee, fikiri zaidi
 
Mwendawazimu alikufa tarehe 17/ 03/ 21 na kuzikwa kule Chato. Kama unamaindi, Go to hell as well
Wapi nimeandika mwenda zake!.
Itoshokusema watu kama nyie hamujitambui na hamujielewi.
Munaendeshwa kama gari bovu
 
Mahakamani ndio sehemu ya kuthibitisha wizi wa mtu, miaka mitano mmeshindwa kuthibitisha, nyinyi kama siyo mashetani tuwaite vipi?

Usimweke mtu ndani kama huna ushahidi, unatesa watu bure.


Sawa ukumbuke hawa ni majizi mazoefu yanajua kuiba nakuondoa ushahidi..

Kuibaa sio tatizo tatizo unaiba je na kiasi gani?

mbona hawajakukamat wewe na kukufanyia upelelezi? Haya mambo ni magumu
 
A
Aisee
 
Huyu ndio mwanaume... Unakufa na siri gerezani. Ukitoka unakula nchiii.... Nimempenda kiukweli.
Una uhakika gani kuwa uhuru wake si kutokana na kutoa siri hiyo?

Aliomba nafasi ataje muhusika wa upigaji ule, ulisikia lolote baada ya hapo?

Walioteuliwa juzi ni;
DPP
AG
January

Waliohusika na Ruge kutoka ni?

Wizara iliyopigwa ni?

Wizara zilizo na ulaji zaidi ni zipi, taja 3 tu!

Kashfa za January, hazitoshi hata kumfukuza chama kwa watu wenye maadili?

Kama ameonewa kweli, kwenye huu utawala unaojali na unaofuata sheria na misingi ya utawala bora, Ruge atapaswa kufungua kesi ya Character assassination, defamation na kila aina ya uonevu, kinyume na hapo, ndo wabia wa Bagamoyo harbour hao wanaanza kupangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…