Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aligomea makosa ya kubambikwa, man of principles.Jambo la kheri, yeye aligoma kabisa kukiri kosa na kulipa fidia?
Baada ya kuyakiri makosa ya kubambikiwa ili tu aachiwe baada ya kushindwa kuuvumilia msoto wa mundende.Hivi harbinder Seth aliachiwa?
Punguza jazba serikali hawana ushahidi tangu enzi za mwenda zake unayemsifiaYaani jizi lililo kwiba ma bilioni ya shilling za watanzania lina achiwa huruuu!!!! daa kweli mwenda zake tunamkumba!
Kazi za serikali alitosa zamani tu maana ye anawatuma serikali na kuwapa hela ya mboga.Moja ya vichwa ambavyo Tanzania imebarikiwa kuwa navyo. Tatizo ni serikali kutotumia vichwa hivyo kwa manufaa ya taifa.
Hapana mkuu!
..
Chadema ya sasa inamuona Ruge malaika. Lakini kumbuka kina Ruge walikomaliwa sana na kina Lisu kipindi kile cha Jk.
Sijaona chadema hii ya sasa ikitaka hao uliowataja waunganishwe na Ruge ila tunaona wakifurahia sana Ruge kutoka wakidai alionewa!
Tangu Gwajima awe mshenga wa kumleta EL pale chadema ndio ukawa mwisho mwema wa mapamabano dhidi mafisadi uliasisiwa na kina Slaa.
Ndio maana nasema nikiona mtu yeyote kwenye nafasi alafu akapiga mihela yake ntamsifu sana.
Kurajiribu kuwapigania watz ni kujichosha bure. Ndio sababu juzi nilisema Mbowe anahangaikia kitu gani? Anapata tabu kwa ajili ya mijitu isiyojielewa? Au labda ananufaika na harakati zake?
Kwanini waone kaonewa?Lissu: Kumkamata Harbinder Sethi na James Rugemalira ni sawa lakini haitoshi
KUMKAMATA HARBINDER SINGH NA JAMES RUGEMALILA NI SAWA LAKINI HAITOSHI!!!! Na Tundu Lissu Harbinder Singh Seth na James Rugemalila walikuwa ni sehemu muhimu ya mtandao uliokwapua shilingi bilioni 306 zilizokuwa Benki Kuu. Ni sawa, kwa hiyo, wakifunguliwa mashtaka ya jinai ya uhujumu uchumi...www.jamiiforums.com
Soma hiyo thread ndio utaelewa kwanini wanaona Rugemalira sio tu ameonewa ila ametolewa kafara kuwalinda mafisadi papa yaliyopo serikalini na chamani. Mfano chenge, Muhongo, Ngeleja n.k
HAYA NI MAMBO YA MUNGU TU. SIKUTEGEMEA RUGEMALIRA ANGETOKA MAHABUSI AKIWA MZIMA. MWENYEZI MUNGU AMPE FARAJA KWA MATESO ALIYOYAPATA KWA KOSA LA KUUZA HISA ZAKE!Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.![]()
Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.
Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.
Zaidi Soma:
1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
UPDATE:
Rugemalila yupo huru!
Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
Kina seth wamelipwa so wao ni wanufaika tu ila issue ni nani aliyewalipa? Nani aliyekubali malipo wanayodai ya kifisadi kutolewa? BOT na wizara ya fedha wanaponaje? Vipi TRA ambao hawakuona hta capital gain tax ya kukata??Kwanini waone kaonewa?
Kwanini wasipiganie hao uliowataja nao washitakiwe badala ya kushangilia Ruge kutoka?
Ndiyo maana alipotaka kutaja wahusika wa escrow serikali ilimkatalia. Jk oyeeeee. Sasa business as usual Mama keshamwachia nchi Vasco.Mchongo ulifanywa na Kikwete so lazimi wamuachie tu
Hiyo haihalalishi mwizi aliekamatwa kuachiwa na nyie kushangiliaKina seth wamelipwa so wao ni wanufaika tu ila issue ni nani aliyewalipa? Nani aliyekubali malipo wanayodai ya kifisadi kutolewa? BOT na wizara ya fedha wanaponaje? Vipi TRA ambao hawakuona hta capital gain tax ya kukata??
Walishinikiza sana kina Lissu toka siku ya kwanza Seth anakamatwa ila kimyaa watu wakadai anapinga kila kitu. Leo yakwapi sasa? Wameshindwa leta ushahidi mwaka wa 5 huu maana mafisadi ya kweli yapo CCM na serikalini na ndio yaligawana pesa kwenye masandarusi!!
Kuna quote moja inasema "Serikali huamua nani ni adui wa nchi kulingana na maslahi yake kwa wakati huo" So mnaweza iba 10 ila ukakamatwa mmoja tu sababu hao 9 wana maslahi na serikali so wana haki kuliko wewe!!!
That's politics
Swadakta...Ruge ni mwambaKwa Ruge alishindwa hilu nakuthibitishia, walioporwa pesa wote ni wale wakiogoopa kukaa jela na kukubali yaishe.
Huyu ni mwamba aingizwe kwenye orodha ya mashujaa.
Ruge is clean mahakama mpaka leo haihamwingiza hatiani, kwa kanuni za kisheria Mzee Ruge amesafishwa rasmi na serikali.
Waliomtesa washatangulia kuzimu
Be serious. Wizi huo unahusisha serikali na mkubwa ana mkono mzito kwenye misheni hiyo. Unategemea nini? Kwa serikali ya CCM kusema inapambana na ufisadi ni UNAFIKI wa hali ya juu. Hakuna ufisadi mkubwa wa kiwango hicho unaoweza kufanikiwa bila "signecha" ya mkuu mwenyewe.Sawa ukumbuke hawa ni majizi mazoefu yanajua kuiba nakuondoa ushahidi..
Kuibaa sio tatizo tatizo unaiba je na kiasi gani?
mbona hawajakukamat wewe na kukufanyia upelelezi? Haya mambo ni magumu